Ndikilo: Sina mpango wa jimbo
NA BLANDINA ARISTIDES MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesema hana ndoto ya kugombea ubunge katika jimbo la Nyamagana kama inavyodaiwa.
Mhandisi Ndikilo alitoa kauli hiyo jana, baada ya mbunge wa jimbo hilo, Ezekia Wenje, kudai kuwa mkuu huyo wa mkoa anataka kugombea jimbo hilo.
Wenje alitoa tuhuma hizo mwishoni mwa wiki, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Tambuka Reli, jijini hapa.
Katika mkutano huo, Wenje alitumia muda mwingi kutoa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Sina mpango wa kuigiza
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Lowassa: Sina mpango wa kushindwa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Magufuli: Sina mpango wa urais
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa hana mpango na urais wala kujitangaza kuwania nafasi hiyo. Hatua hiyo ilitokana na wananchi wengi kumshangilia na kumwita rais wakati ziara ya...
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Aveva: Sina mpango wa kujiuzulu Simba
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia
10 years ago
GPLIDRIS SINA MPANGO WA KUWA NA MPENZI
9 years ago
Bongo Movies03 Jan
Wema Sepetu: Sina Mpango wa Kuzaa
Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kiposti
![WEMA341](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/01/WEMA341.jpg)
“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Victoria: Sina mpango na wanaume wa Kenya
NAIROBI, KENYA
MSANII wa muziki nchini Kenya, Victoria Kimani, amesema hana mpango wa kuolewa na wanaume wa nchini Kenya kwa kuwa hawajui kukaa na wapenzi wao.
Mrembo huyo amesema wanaume wengi wa nchini humo wamekuwa tofauti na wale wa nchini Nigeria, hivyo ni bora aelekee huko kwa ajili ya kupata mwanaume bora ambaye atadumu naye.
Msanii huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri katika muziki mara baada ya kusaini mkataba mpya katika kampuni ya kusimamia kazi zake ijulikanayo kwa jina la...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Mpoto: Sina mpango kusaka ubunge
MSANII mahiri wa utunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’, amesema hana mpango wa kugombea ubunge kama ilivyokuwa ikidaiwa na vyombo vya habari. Kauli ya Mjomba imekuja baada ya wadau wa...