Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aveva: Sina mpango wa kujiuzulu Simba

Wakati kuna madai ya mpasuko wa uongozi, ukata mkubwa na madeni kwenye klabu ya Simba, rais wa klabu hiyo Evance Aveva amesema ajiuzulu, wanaotaka afanye hivyo wafuate taratibu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PROFESA TIBAIJUKA: SINA SABABU YA KUJIUZULU

Waziri Tibaijuka akizungumza na wanahabari. Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano…

 

10 years ago

Mwananchi

Sina mpango wa kuigiza

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Meninah Atick amesema hawezi kuingia katika sanaa ya filamu kwa sababu yoyote kwani hana kipaji cha kuigiza. Meninah ambaye pia ni mwandishi wa habari aliyebobea katika utangazaji amesema haoni kama anaweza kujikita kwenye uigizaji kwa siku za karibuni.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ndikilo: Sina mpango wa jimbo


NA BLANDINA ARISTIDES MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesema hana ndoto ya kugombea ubunge katika jimbo la Nyamagana kama inavyodaiwa.
Mhandisi Ndikilo alitoa kauli hiyo jana, baada ya mbunge wa jimbo hilo, Ezekia Wenje, kudai kuwa mkuu huyo wa mkoa anataka kugombea jimbo hilo.
Wenje alitoa tuhuma hizo mwishoni mwa wiki, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Tambuka Reli, jijini hapa.
Katika mkutano huo, Wenje alitumia muda mwingi kutoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Sina mpango wa urais

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa hana mpango na urais wala kujitangaza kuwania nafasi hiyo. Hatua hiyo ilitokana na wananchi wengi kumshangilia na kumwita rais wakati ziara ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Sina mpango wa kushindwa

lowassaNA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...

 

11 years ago

GPL

Aveva historia Simba

Na Waandishi Wetu
SIMBA imeweka historia ya kuwa na kiongozi wa kwanza wa juu ambaye atakuwa akitambulika kwa cheo cha rais na siyo mwenyekiti tena kama ilivyokuwa awali, hiyo ni baada ya Evans Aveva kushinda kwa kishindo katika nafasi hiyo kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo, jana. Aveva amepata ushindi katika uchaguzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwania nafasi hiyo na...

 

11 years ago

TheCitizen

Aveva: My vision for Simba SC

One of Simba Sports Club’s presidential candidates, Evans Aveva has said that he will turn the club into a winning outfit locally and internationally if elected.

 

10 years ago

GPL

DAYNA: SINA MPANGO WA KOLABO NA DIAMOND

WAKATI  staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya kazi na staa huyo hata kama anafanya vizuri kimataifa. Nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’. Akifunguka na Risasi Vibes, Dayna alisema kuwa hajaweka wazo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema hana mpango wa kutangaza nia ya kugombea urais kwa sasa, bali anapenda kushirikiana na waumini na wananchi katika shughuli zao za kimaendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani