DAYNA ANASWA KIMAHABA!
![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NahjPOlLP*bZuuYLSvK-LMxdi8bHBZOz3a0OShxnkUCDJ7WpNiyBcRLB-*X0yZdhLuuSH5Sygz2OFc5KZ16Oj29I/Dyna1.jpg?width=650)
Imelda Mtema PICHA za staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ akiwa katika pozi la kimahaba zimenaswa. Picha hizo zinazomuonesha akiwa katika ‘mabusu ya kiutuzima’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Baada ya kunaswa kwa picha hizo, Amani lilimvutia waya Dayna ambapo alijitetea kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZTpmqpxsz9S9QUuamKFFBOHoMJmwcTNfOr9SJ4F8E4Vtt7B9Fh9ghpA1hTTXSPNDu3dPkYeEO7mC6z6XHrYM4V/nay.jpg?width=650)
NAY WA MITEGO ANASWA KIMAHABA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSVZMJVIeZFFlNVNffUYqElk3Jq8rQSR-fkosL-nYRuZc0z*757JSwKqdJnGAIp*JVzjXtX09pUbL7OMMwURwYgZ/BACKIJUMAA2.jpg)
NAY, PAM D WAGANDANA KIMAHABA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TxtLZ0aSbwx*Xe*rYrRf*Tuyww04dwrlp1YAQFddjOTpXBN-QELhrJlVJ8c-zKAckhlmcUsKxway8NS9k-RjVIcox0RhwHZP/IMG20150921WA0002.jpg?width=650)
PENNY, SIZA WANASWA KIMAHABA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIT0a0ptku9DHxekK3WrtVcpHXhfA*8FuKv0XwB4fgwL9v1ThbOWawPYeRQtigrKpAB4lWyM7AN0ZX7PsJxOqX5/fetty.jpg)
FETTY, MULI B WANASWA KIMAHABA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpGyVTh3vAKkffMJtFe1G3-1PTKvijnRCVRXEh28MMuoIeFMbZP45Rk*2mQJykCXic-QPeiRZPllIBxAwxv0gKsG/RAY.jpg)
RAY ATUPIA PICHA YAKE YA KIMAHABA NA CHUCHU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilpWNTof01yN0I3DmP5mSwnHdc6GkGymu8-xQTS3*3VPHwy5IQ*R*1j7cQavPZGjkQzMWWZm6wTVpM7kWxa5i4vK/aunty.jpg)
AUNT, KASSIM WANASWA KIMAHABA NCHINI MAREKANI
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Wema na mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana. Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu, Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.
Sisi yetu macho.
Kufahamu ni KODI gani...
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Wema na mume wa mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana. Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu, Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.
Sisi yetu macho.
Kufahamu ni KODI gani...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Dayna Sifugi madansa