Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT, KASSIM WANASWA KIMAHABA NCHINI MAREKANI

Na Musa Mateja Amani! Wakati mumewe Sunday Demonte akidaiwa kuwa yuko mbioni kuhukumiwa kwenda jela huko Dubai, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Wakati anaondoka nchini hivi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

PENNY, SIZA WANASWA KIMAHABA

Imelda Mtema WATANGAZAJI wa Shindano la Bongo Star Search, Penniel Mungilwa ‘Penny’ na Siza Daniel wamenaswa wakioneshana mahaba hadharani kama mtu na ‘bebi’ wake. Tukio hilo lililopigwa chabo na paparazi wetu lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Kawe Beach, Dar wakati wawili hao walipokuwa wakijiandaa kurekodi kipindi cha shindano hilo ambapo walionekana kushea juisi ambayo kuna wakati Siza alimnywesha Penny huku...

 

10 years ago

GPL

FETTY, MULI B WANASWA KIMAHABA

Stori: Musa Mateja, Kahama
MTANGAZAJI wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’ na DJ Muli B, wamenaswa wakiwa kwenye pozi la mahaba huku tena wakiwa wamejisahau utadhani mume na mkewe. Mtangazaji wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty' akiwa na 'DJ Muli B’ .
Ishu hiyo ilitokea Agosti 17, Mwaka huu ndani ya Uwanja wa Kahama, ambapo walienda kwa ajili ya kutazama burudani za Serengeti Fiesta 2014...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI LAZARO NYALANDU AZUNGUMZIA TETESI ZA KUTANUA NA AUNT EZEKIEL NCHINI MAREKANI

Baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu(Pichani juu) na msanii wa filamu Aunty Ezekiel kuvinjari nchini Marekani hatimaye waziri huyo Aunt Ezekielalisema tuhuma hizo zimetengenezwa na kundi la watu ambalo miongoni mwao ni baadhi ya viongozi wa Serikali ambao humchafua kutokana na utendaji kazi wake.
Nyalandu alisema alikwenda Marekani septemba12 kwa ajili ya kufungua tamasha la utamaduni na utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ambako...

 

11 years ago

GPL

AUNT MUME WA MTU WANASWA!

Stori: Musa Mateja, Mwanza STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu, Risasi Mchanganyiko linaripoti bila woga. Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo. Aunt alinaswa akiwa na mnenguaji wa Wasafi Classic, Moses Yobo anayepiga mzigo chini ya Nasib Abdul ‘Diamond’ katika...

 

11 years ago

GPL

MARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI‏

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...

 

11 years ago

Michuzi

MARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Balozi huyo alipotembelea Ubalozi huo siku ya Alhamisi...

 

10 years ago

GPL

DOKTA AMZUIA AUNT KUJIFUNGUA MAREKANI

IMELDA MTEMA DOKTA amempiga stop staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kwenda kujifungulia nchini Marekani kwa sababu hali yake ya ujauzito aliyofikia haruhusiwi kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga kwenda popote. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Chanzo makini kilisema kuwa, Aunt alijiwekea mpango wa kwenda kujifungulia nchini huko kwa muda mrefu lakini alikuwa akisubiri mimba ikue kidogo kitendo ambacho hakikutakiwa kwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

MSIBA WAZIMA MBWEMBWE ZA AUNT MAREKANI

Stori: Imelda Mtema
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amelazimika kusitisha bata alizokuwa akila nchini Marekani baada ya kupata msiba wa mdogo wake aliyefariki dunia juzikati. Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa mamtoni.
Chanzo chetu makini kilieleza kuwa, Aunt alipata taarifa za mdogo wake huyo (si wa damu) aliyekuwa akiishi naye aitwaye Ziada kufariki dunia akiwa mamtoni hivyo ikamlazimu kurudi Bongo ili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani