Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA WAZIMA MBWEMBWE ZA AUNT MAREKANI

Stori: Imelda Mtema
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amelazimika kusitisha bata alizokuwa akila nchini Marekani baada ya kupata msiba wa mdogo wake aliyefariki dunia juzikati. Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa mamtoni.
Chanzo chetu makini kilieleza kuwa, Aunt alipata taarifa za mdogo wake huyo (si wa damu) aliyekuwa akiishi naye aitwaye Ziada kufariki dunia akiwa mamtoni hivyo ikamlazimu kurudi Bongo ili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DOKTA AMZUIA AUNT KUJIFUNGUA MAREKANI

IMELDA MTEMA DOKTA amempiga stop staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kwenda kujifungulia nchini Marekani kwa sababu hali yake ya ujauzito aliyofikia haruhusiwi kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga kwenda popote. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Chanzo makini kilisema kuwa, Aunt alijiwekea mpango wa kwenda kujifungulia nchini huko kwa muda mrefu lakini alikuwa akisubiri mimba ikue kidogo kitendo ambacho hakikutakiwa kwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

AUNT, KASSIM WANASWA KIMAHABA NCHINI MAREKANI

Na Musa Mateja Amani! Wakati mumewe Sunday Demonte akidaiwa kuwa yuko mbioni kuhukumiwa kwenda jela huko Dubai, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Wakati anaondoka nchini hivi...

 

10 years ago

Vijimambo

Msiba Tanzania na Marekani

Patricia Kajula wa Maryland Marekani anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Mwamakunge Kajula kilicho tokea leo Mbeya Tanzania.
Msiba upo kwa binamu yake Patricia,Jeff Deo Nkanda Address:5701 union bridge ct Bowie MD 20720
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:Patricia:240 486 9948Jeff Deo Nkanda: 240 413 1925Dotto Haruna: 240 274 7921Betty Lulanda:240 486 7082Shukurani Magoma:202 607 1976
Bwana alitoa na sasa bwana ametwa amenitumia.

 

9 years ago

Michuzi

MSIBA MAREKANI NA TANZANIA

Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wakeTunasikitika kutangaza kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, mama yake Yvonne Matinyi, Felicia Simms, Fredderek Ketangenyi pia ni Dada yake na Rossie Musika, Neema Musika, Daudi Musika, Sijaona Musika kilichotekea 9/30/15 katika hospitali ya NIH Maryland mipango ya kusafiri mwili wa marehemu inaendelea kwa mdogo wa marehemu Daudi Musika3819 Gateway terrace Burtonsville MD 20866Unaweza kuwasilianaFrederick Ketangenyi 267 809 5124Felicia Simms 240 608...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tangazo la msiba Tanzania na Marekani


11261405_1439531623036433_198071232238341808_o

DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.

Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A....

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la msiba Marekani na Tanzania:


Familia ya Mang'ulo na ndugu Isaac Kibodya wanasikitika kutangaza kifocha bwana Abbas Khalfani Mang'ulo (68) ambaye ni baba mzazi wa KhajatSwalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya kilichotokea Bagamoyo,Tanzania. Mazishi yamefanyika leo mchana huko Msata, Mkoa waPwani. kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani kwa bwana na bibi Kibodya58 Vail Street, Springfield, Mass. Dua imepangwa kufanyika JumapiliJulai 19 Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Masskuanzia saa 10...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA MAREKANI NA TANZANIA. EDDIE MALCOM.

MSIBA MAREKANI NA TANZANIA. EDDIE MALCOLM.
Jumuiya ya Watanzania New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania Pamoja na Jumuiya ya Watanzania Southern California zinaungana na Familia ya Mawhite kutangaza kifo cha Mtoto wao Eddie Ally Buna maarufu Eddie Malcolm kilichotokea Ghafla New Jersey, Marekani siku ya Jumanne August 04 2015.Mwili utasafirishwa siku ya jumaamosi kwenda Zanzibar kwa mazishi kwa Qatar Airways.Jumuiya  inawaomba Watanzania wote watakaokuwa na nafasi kuungana nasi...

 

10 years ago

Michuzi

MSIBA KANSAS, MAREKANI NA KIBAHA, TANZANIA


FAMILIA YA ELISA  NA ADELITA NYITI WA KILUVYA/KIBAHA TANZANIA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAO EMMANUEL NYITI. KILICHOTOKEA KANSAS CITY USA, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE  06/20/2015.

HISTORIA FUPI  YA MAREHEMUEmmanuel Elisa Nyiti alizaliwa  March 21, mwaka  1973 mkoani Dar es Salaam Tanzania kabla  ya mauti kumfikia Juni 20 mwaka 2015.


Elimu ya awali aliipata katika shule ya msingi Kibaha  na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Kibaha kutoka mwaka 1987 mpaka 1990.


Baada ya kumaliza...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI LAZARO NYALANDU AZUNGUMZIA TETESI ZA KUTANUA NA AUNT EZEKIEL NCHINI MAREKANI

Baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu(Pichani juu) na msanii wa filamu Aunty Ezekiel kuvinjari nchini Marekani hatimaye waziri huyo Aunt Ezekielalisema tuhuma hizo zimetengenezwa na kundi la watu ambalo miongoni mwao ni baadhi ya viongozi wa Serikali ambao humchafua kutokana na utendaji kazi wake.
Nyalandu alisema alikwenda Marekani septemba12 kwa ajili ya kufungua tamasha la utamaduni na utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ambako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani