Tangazo la msiba Marekani na Tanzania:
Familia ya Mang'ulo na ndugu Isaac Kibodya wanasikitika kutangaza kifocha bwana Abbas Khalfani Mang'ulo (68) ambaye ni baba mzazi wa KhajatSwalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya kilichotokea Bagamoyo,Tanzania. Mazishi yamefanyika leo mchana huko Msata, Mkoa waPwani. kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani kwa bwana na bibi Kibodya58 Vail Street, Springfield, Mass. Dua imepangwa kufanyika JumapiliJulai 19 Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Masskuanzia saa 10...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Tangazo la msiba Tanzania na Marekani
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A....
9 years ago
MichuziTANGAZO LA MSIBA WA MZEE GODFREY MNGODO TANZANIA NA MAREKANI
Tunasikitika kuwaarifu kwamba mwenyekiti wetu wa kwanza wa mfuko Mr Michale Mgodo amepatwa na msiba wa baba yake mzazi Marehemu Godfrey Mngodo (pichani) uliotokea katika hospitali ya Dar Group jijini Dar es salaam juzi.
Mipango ya mazishi inafanyika
nyumbani Tanzania na hapa USA kwa Mr and Mrs Mngodo.
Address yao ni
549 Wildindingo Run,
Westerville,
Ohio 43081.
Kwa maelezo Zaidi please wasiliana na Michael Mngodo kwa kupitia number 614 446 5556, Teddy Mngodo 614 772 1591 na mwenyekiti...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
9 years ago
VijimamboTANGAZO LA MSIBA CHICAGO NA TANZANIA
10 years ago
MichuziTANGAZO LA MSIBA KUTOKA FAMILIA YA NDG SEBASTIAN MGIMBA WA DAR ES SALAAM - TANZANIA
2Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza Imani nimeilinda.
Familia ya Ndugu Sebastian Mgimba inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Mathew Sebastian Mgimba kilichotokea Nchini Malaysia tarehe 20/11/2014.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili leo tarehe 25/11/2014 na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Sinza Kumekucha.Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi - Amina
10 years ago
Vijimambo31 May
Msiba Tanzania na Marekani
Msiba upo kwa binamu yake Patricia,Jeff Deo Nkanda Address:5701 union bridge ct Bowie MD 20720
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:Patricia:240 486 9948Jeff Deo Nkanda: 240 413 1925Dotto Haruna: 240 274 7921Betty Lulanda:240 486 7082Shukurani Magoma:202 607 1976
Bwana alitoa na sasa bwana ametwa amenitumia.
9 years ago
MichuziMSIBA MAREKANI NA TANZANIA
10 years ago
VijimamboMSIBA MAREKANI NA TANZANIA. EDDIE MALCOM.
Jumuiya ya Watanzania New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania Pamoja na Jumuiya ya Watanzania Southern California zinaungana na Familia ya Mawhite kutangaza kifo cha Mtoto wao Eddie Ally Buna maarufu Eddie Malcolm kilichotokea Ghafla New Jersey, Marekani siku ya Jumanne August 04 2015.Mwili utasafirishwa siku ya jumaamosi kwenda Zanzibar kwa mazishi kwa Qatar Airways.Jumuiya inawaomba Watanzania wote watakaokuwa na nafasi kuungana nasi...
10 years ago
Michuzi23 Jun
MSIBA KANSAS, MAREKANI NA KIBAHA, TANZANIA
FAMILIA YA ELISA NA ADELITA NYITI WA KILUVYA/KIBAHA TANZANIA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAO EMMANUEL NYITI. KILICHOTOKEA KANSAS CITY USA, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 06/20/2015.
HISTORIA FUPI YA MAREHEMUEmmanuel Elisa Nyiti alizaliwa March 21, mwaka 1973 mkoani Dar es Salaam Tanzania kabla ya mauti kumfikia Juni 20 mwaka 2015.
Elimu ya awali aliipata katika shule ya msingi Kibaha na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Kibaha kutoka mwaka 1987 mpaka 1990.
Baada ya kumaliza...