Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA

Ndugu yetu, dada yetu na Mtanzania mwenzetu Rhoda Kasanga amefiwa na mpendwa baba yake mzazi siku ya Alhamisi April 16, 2015 nyumbani Tanzania.
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tangazo la msiba Tanzania na Marekani


11261405_1439531623036433_198071232238341808_o

DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.

Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A....

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la msiba Marekani na Tanzania:


Familia ya Mang'ulo na ndugu Isaac Kibodya wanasikitika kutangaza kifocha bwana Abbas Khalfani Mang'ulo (68) ambaye ni baba mzazi wa KhajatSwalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya kilichotokea Bagamoyo,Tanzania. Mazishi yamefanyika leo mchana huko Msata, Mkoa waPwani. kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani kwa bwana na bibi Kibodya58 Vail Street, Springfield, Mass. Dua imepangwa kufanyika JumapiliJulai 19 Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Masskuanzia saa 10...

 

9 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA MSIBA CHICAGO NA TANZANIA

BJ and Hellen Gwantwa Mwakyoma of Chicago Illinois regret to announce the untimely and sudden death of their beloved Mother Mrs Tamali Mwakyoma. She passed away on Saturday October 17,2015, In India.Mrs Tamali will be missed by her sons, Daughters, her Grand children's, Nephews, Nieces and several other family members and friends here in the U.S, and Tanzania. BJ and Gwantwa will be travelling to Tanzania for the funeral on Tuesday.May the Almighty God grant Mrs Mwakyoma soul eternal peace,...

 

11 years ago

Michuzi

Msiba Tanzania na DMV


Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147. 
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe 

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA DMV NA TANZANIA

Mtanzania mwenzetu Darmatus Nambai anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Kama ilivyo ada na desturi kupeana pole ndio ustaarabu wetu ukipata wasaa mpitie mfiwa ndugu yetu, kaka yetu mwanaDMV mwenzetu Nambai kuumpa pole na kumfariji katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na mpendwa mama yake mzazi.
DMV msiba upo 4717 Eiderdown Ct,     Owings Mills, MD 21117
Kwa taarifa zaidi na maelekezo piga simu Nambai 301 523 1378Rehema 202 904 5029home 410 363...

 

11 years ago

GPL

MSIBA TANZANIA NA DMV‏

Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147.  Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540 . Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe … ...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA NEW MEXICO, DMV NA TANZANIA

BWANA LEMMY MAMUYA WA NEW MEXICO NA CAROLINE MAMUYA WA MARYLAND WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAO DAUSON MAMUYA KILICHOTOKEA SIKU YA ALHAMISI FEBRUARI 12, 2015 NYUMBANI MARANGU MOSHI KAMA ILIVYO MILA NA DESTURI YETU KUPEANA POLE NDIO USTAARABU WETU.
WAFIWA WANATARAJIA KWENDA NYUMBANI JUMAPILI AU JUMATATU KWA SASA UNAWEZA PIGA SIMU NA KUWAPA POLE WAFIWA WATAKAPORUDI TOKA TANZANIA WATATUJULISHA ILI TUWEZEFIKA NYUMBANI KWAO HUKU MAREKANI KUWAPA MKONO WA POLE.SIMU YA LEMMY MAMUYA ‪(505)...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA

NDUGU YETU ALLY MUSA MIKIDADI AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI NYUMBANI TANZANIA MIPANGO YA MAZISHI INAENDELEA HUKO NYUMBANI TANZANIA KAMA KAWAIDA NA MILA ZETU KUPEANA POLE NA KUFARIJIANA.TUMFARIJI NDUGU YETU KWA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA BABA YAKE KIPENZINAMBA YA MFIWA NI201 628 2133.ADRESS6200 AGER ROADHYATTSVILLE MD 20782.

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Msiba Tanzania na DMV


Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147. 
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani