Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FETTY, MULI B WANASWA KIMAHABA

Stori: Musa Mateja, Kahama
MTANGAZAJI wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’ na DJ Muli B, wamenaswa wakiwa kwenye pozi la mahaba huku tena wakiwa wamejisahau utadhani mume na mkewe. Mtangazaji wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty' akiwa na 'DJ Muli B’ .
Ishu hiyo ilitokea Agosti 17, Mwaka huu ndani ya Uwanja wa Kahama, ambapo walienda kwa ajili ya kutazama burudani za Serengeti Fiesta 2014...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

PENNY, SIZA WANASWA KIMAHABA

Imelda Mtema WATANGAZAJI wa Shindano la Bongo Star Search, Penniel Mungilwa ‘Penny’ na Siza Daniel wamenaswa wakioneshana mahaba hadharani kama mtu na ‘bebi’ wake. Tukio hilo lililopigwa chabo na paparazi wetu lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Kawe Beach, Dar wakati wawili hao walipokuwa wakijiandaa kurekodi kipindi cha shindano hilo ambapo walionekana kushea juisi ambayo kuna wakati Siza alimnywesha Penny huku...

 

10 years ago

GPL

AUNT, KASSIM WANASWA KIMAHABA NCHINI MAREKANI

Na Musa Mateja Amani! Wakati mumewe Sunday Demonte akidaiwa kuwa yuko mbioni kuhukumiwa kwenda jela huko Dubai, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Wakati anaondoka nchini hivi...

 

10 years ago

GPL

DAYNA ANASWA KIMAHABA!

Imelda Mtema PICHA za staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ akiwa katika pozi la kimahaba zimenaswa.
Picha hizo zinazomuonesha akiwa katika ‘mabusu ya kiutuzima’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Baada ya kunaswa kwa picha hizo, Amani lilimvutia waya Dayna ambapo alijitetea kuwa...

 

11 years ago

GPL

NAY WA MITEGO ANASWA KIMAHABA

Stori: mayasa mariwata
PICHA za mkali wa Hip Hop Bongo anayesumbua na wimbo wa Nakula Ujana, Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi za kimahaba zimenaswa. Nay wa Mitego akiwa na Mbongo Muvi. Baada ya picha hizo kutua mikononi mwa paparazi wetu, alimtafuta Nay wa Mitego ambaye inafahamika na wengi kuwa mpenzi wake ni binti aitwaye Siwema, alipopatikana...

 

10 years ago

GPL

NAY, PAM D WAGANDANA KIMAHABA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
YA leo siyo ya kesho! Wakati Juni 9, mwaka jana, nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki  ‘Nay wa Mitego’ alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ‘bethidei’ kwa mbwembwe kubwa ambayo iliandaliwa na mzazi mwenzake, Siwema pale Kimara Barudi, Dar, mwaka huu ziii huku akinaswa kimahaba na Mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, Ijumaa lina kila kitu. Nyota wa...

 

11 years ago

GPL

RAY ATUPIA PICHA YAKE YA KIMAHABA NA CHUCHU

STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi 'Ray' akiwa katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Chuchu Hans. Picha hii Ray ameitupia katika akaunti yake ya Instagram leo na kuandika maneno yafuatayo "Wawili wakipendana adui hana nafasi"

 

10 years ago

GPL

DJ FETTY AZITWANGA KAVUKAVU

Stori: Musa Mateja
MTANGAZAJI wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’, juzikati alijikuta akitwangana makonde na mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja baada ya kupishana kauli kwenye ukumbi mmoja wa starehe pande za Kahama, Shinyanga. Mtangazaji wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty Katika tukio hilo, Fetty aliyekuwa kwenye ‘tour’ ya Serengeti Fiesta...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Fetty Wap — Trap Ni**as

Fetty Wap takes it to the club in the video for his freestyle to Future’s “Trap Ni**as.” Shot in Las Vegas, the clip doesn’t make things too complicated—we’ve got Fetty, his crew, video vixens, and lots of cash. This video seems like it was a lot of fun to film—one captivating shot starts off on […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ty Dolla $ign Ft Fetty Wap — When I See Ya

Rapper Ty Dolla $ign ameachaia video yake mpya amemshirikisha Fetty Wap wimbo unaitwa “When I See Ya.” Wimbo huu upo kwenye album yake mpya ya Free TC ambayo inatoka Nov. 13. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani