Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAY WA MITEGO ANASWA KIMAHABA

Stori: mayasa mariwata
PICHA za mkali wa Hip Hop Bongo anayesumbua na wimbo wa Nakula Ujana, Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi za kimahaba zimenaswa. Nay wa Mitego akiwa na Mbongo Muvi. Baada ya picha hizo kutua mikononi mwa paparazi wetu, alimtafuta Nay wa Mitego ambaye inafahamika na wengi kuwa mpenzi wake ni binti aitwaye Siwema, alipopatikana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAYNA ANASWA KIMAHABA!

Imelda Mtema PICHA za staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ akiwa katika pozi la kimahaba zimenaswa.
Picha hizo zinazomuonesha akiwa katika ‘mabusu ya kiutuzima’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Baada ya kunaswa kwa picha hizo, Amani lilimvutia waya Dayna ambapo alijitetea kuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

10 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

NAY, PAM D WAGANDANA KIMAHABA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
YA leo siyo ya kesho! Wakati Juni 9, mwaka jana, nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki  ‘Nay wa Mitego’ alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ‘bethidei’ kwa mbwembwe kubwa ambayo iliandaliwa na mzazi mwenzake, Siwema pale Kimara Barudi, Dar, mwaka huu ziii huku akinaswa kimahaba na Mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, Ijumaa lina kila kitu. Nyota wa...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay

Msanii Wa Hip Hop nchini, Nay Wa Mitego ameachia video yake mpya ‘Mr Nay’ iliyoongozwa na Kevin Bosco Jnr wa Decent Media nchini Kenya. Itazame

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya

Hivi karibuni Nay Wa Mitego aka True Boy alikwenda Kenya kushoot video ya single yake mpya ‘Mr Nay’, na habari njema ni kuwa video tayari imekamilika. Lakini habari mbaya ni kwamba Nay amekupa sekunde 15 tu za kuona teaser kwa sasa kabla hajaachia rasmi video kamili. Video ya ‘Mr Nay’ imeongozwa na director Kevin Bosco […]

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani