Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LINAH NA SKENDO YA KUTOKA NA KIGOGO

Na Musa Mateja
STAA wa Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’ amepangua skendo inayomtafuna ya kutoka na kigogo mmoja wa wizara nyeti ya Serikali ya Tanzania na kupachikwa ujauzito. Estelinah Sanga ‘Linah’. Akizungumza na mwandishi wetu, Januari 17, mwaka huu, Linah alisema shutuma hizo zimemwandama wakati siyo za kweli na hana uhusiano wa kimapenzi na kigogo yeyote wa serikalini. “Watu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAYNA AFUNGUKA SKENDO YA KUTOKA NA MR BLUE!

HUYU ANATAKA KUJUA
Dayna wewe ni mwenyeji wa wapi? Nakukubali sana katika fani kwa kukusikia, sijawahi kukuona, natamani sana nikuone. Selemani Alifa, Dar, 0718803204
DAYNA: Nimezaliwa Mwanza ila nimekulia Dodoma. Kuhusu kuniona karibu sana kwenye shoo zangu ndiyo njia rahisi ya kuniona. Mbongo Fleva, Dayna Nyange MICHEPUKO
Kila kizuri kinahitaji pongezi, kiukweli wewe ni mzuri na una mvuto, hivi unaepuka vipi vishawishi...

 

10 years ago

Vijimambo

KICHUPA KIPYA KUTOKA KWA LINAH FT BELLA

Linah katoa video yake mpya jitiririshe hapa chini kiroho safi.

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu,  Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’. kwa sababu wanamjengea hisia tofauti...

 

11 years ago

GPL

UKWELI SKENDO YA AMANDA KUBAKWA

Stori: Sifael Paul na Gladness Mallya
MAMBO hadharani! Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ ameanika ukweli juu ya skendo iliyoenea kama moto wa kifuu kuwa amebakwa jijini Arusha. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’. Awali, Risasi Jumamosi lilipokea skendo hiyo kutoka kwa vyanzo vyake ambapo ilidaiwa kwamba Amanda alifanyiwa ‘unyambilisi’ huo...

 

11 years ago

GPL

TOP 10 VINARA WA SKENDO 2013

Stori: Gladness Mallya
KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna ambao wamekuwa wakitikisa kwa skendo mbalimbali kwa mwaka 2013 ambazo ziliwachefua mashabiki wao, Ijumaa Wikienda linakupa Top 10 ya skendo hizo.
AGNES GERALD ‘MASOGANGE’
Video Queen huyo alitikisa mwaka 2013 kwa skendo ya kukamatwa na dawa za kulevya huko Afrika Kusini na kuwekwa rumande kwa siku kadhaa.
Baadaye alifikishwa mahakamani ambapo...

 

10 years ago

GPL

SKENDO YA FREEMASON YAMGANDA WOLPER

Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja
BAADA ya hivi karibuni kunaswa akiingia katika jengo lao, staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Wolper amezidi kugandwa na skendo ya Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemason akidaiwa kuishi kwa masharti ya taasisi hiyo huku nyumba yake ikiwa imejaa vitu vinavyodaiwa kuwa vya ‘Ki-freemason’. Staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline...

 

11 years ago

GPL

MAIMATHA AKWAA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Gladness Mallya SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo anazoziuza kuwa hazifanyi kazi.
Sosi ameibua utapeli huo wa Maimatha kwa kusema: Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse akipozi katika duka lake la vipodozi. “Maimatha anatapeli watu na dawa zake, yaani tumepaka mabinti wengi hazitusaidii chochote, ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani