MAIMATHA AKWAA SKENDO YA UTAPELI
![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm9sxiBOwss-sQDUhzkcs4C5D1bOHVyxgNf66aVod8b*7lMvHX5yjOMwSo10RxQnlMdpiLZDf4DAuppLxb3DiVQi/MAI.jpg)
Stori: Gladness Mallya SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo anazoziuza kuwa hazifanyi kazi. Sosi ameibua utapeli huo wa Maimatha kwa kusema: Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse akipozi katika duka lake la vipodozi. “Maimatha anatapeli watu na dawa zake, yaani tumepaka mabinti wengi hazitusaidii chochote, ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJOYCE KIRIA AKWAA SKENDO YA UTAPELI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbIEIcZp*y2eb1*kzoYYRH1cs-vMdAqYjV4Rt5Mr0n8O5Cz7XrK6Qsqs2BZ8cDqwuVx6sx0IqngW0zoBHLQ127D/MASOGANGE.jpg)
MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Sitta akwaa kisiki
KIKAO cha Kamati ya Mashauriano kinachotarajiwa kufanyika leo chini ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, huenda kisifikie lengo lake la kutafuta suluhu ya kunusuru Bunge hilo liweze...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Doris akwaa taji Miss Singida
MWANADADA Doris Molel (23) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere cha jijini Dar es Salaam katika Kitivo cha Siasa na Maendeleo ya...
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Chenge akwaa kisiki Escrow, Akimbilia Mahakama Kuu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Chenge-27Feb2015.jpg)
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, jana ‘alikwaa kisiki’ baada ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kutupilia mbali pingamizi lake aliloliwasilisha juzi kuzuia kusikilizwa kwa shauri lake kuhusiana na tuhuma za kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma.
Pamoja na mambo mengine, Chenge, ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, anatuhumiwa kwa kujipatia mgawo wa Sh. bilioni 1.6 kutoka kwenye fedha zilizochotwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-X70QsS2H60M/UzxOO8CJY5I/AAAAAAAFX60/22xIfLW3uzw/s72-c/New+Picture+(7).bmp)
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jihadhari na utapeli huu
KUNDI la matapeli limeibuka na kuwaliza mamilioni ya fedha watu wanaosaka ajira nchini, Tanzania Daima limebaini. Matapeli hao hujifanya maofisa wa baadhi ya ofisi za umma ambao hutangaza kwamba kuna...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgZJK5m3XczsgLyYgQHEJbFooNIoGdTLT1i9ywrEVITDeWOO9xIsEqISJMKsOdXLNdNjFgDkNP9YUfQrhk*O-UvM/gggggggggg.jpg?width=650)
FEROOZ MBARONI KWA UTAPELI
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Joanita akerwa na utapeli wa mastaa
MSANII wa filamu nchini, Fatuma Makame ‘Joanita’, amekerwa na kitendo kinachofanywa na ‘mastaa’ wa filamu kwa kubuni njia ya kuwatapeli watu wa mikoani kwa kisingizio cha kusaka wasanii wenye vipaji....