Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jihadhari na utapeli huu

KUNDI la matapeli limeibuka na kuwaliza mamilioni ya fedha watu wanaosaka ajira nchini, Tanzania Daima limebaini. Matapeli hao hujifanya maofisa wa baadhi ya ofisi za umma ambao hutangaza kwamba kuna...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA GARI JIHADHARI NA UTAPELI HUU WA KIMKATABA

Na   Bashir  Yakub 
1. KUTAPELIWA  KATIKA  UNUNUZI  WA  GARI.
Ununuzi wa magari sawa na biashara nyingine yoyote unahitaji umakini. Lakini ununuzi wa  gari unahitaji umakini mkubwa zaidi pengine kuliko  mali nyingine yoyote inayohamishika kwa sasa. Hii ni kutokana na kukua kwa biashara ya bidhaa hiyo kulikoleteleza kujipenyeza  kwa matapeli hasa mijini. Utapeli  wa magari ni mkubwa kuliko watu wanavyofikiria na idadi ya wanaotapeliwa kwa siku inaelekea kulingana na idadi ya magari yanayouzwa...

 

10 years ago

Michuzi

JIHADHARI NA UJUMBE KAMA HUU, UKIUFUATA AKAUNTI YAKO INASOMBWA...



Dear Valued USER,

We received your instruction to terminate your Google accountYou need to confirm you made this request or we will continue with the requestIf you think it is an error, take action immediately to stop this process.CANCEL REQUEST 

Thank You,
Google Account Team.

 

11 years ago

Michuzi

JIHADHARINI NA UTAPELI HUU KUHUSU MIKOPO

Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog Nimelazimika Kuandika Ujumbe huu kwaajili ya kuutarifu umma wa watanzania mara baada ya kupokea Ujumbe mfupi wa Sms kutoka Kwa rafiki yangu Mroki Mroki juu ya Kuingiliwa kwa akaunti ya Facebook na kuandika Ujumbe wa Kitapeli.
Huu ni Ujumbe ulioandikwa katika Ukurasa wa Rafiki yangu Mroki Mroki katika Ukurasa wake wa Facebook ukijaribu Kuwaaminisha watanzania Juu ya Mikopo inayotolewa na Kutumia Mbinu mbalimbali ili kuweza kutapeli watu.
Baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.


Na Bashir YakubWiki  iliyopita  niliandika  kuhusu  Asilimia kumi ambayo  serikali  za mitaa huwa  wanaidai  hasa  maeneo  ya  mijini baada  ya  wahusika  kuwa wameuziana nyumba au  kiwanja. Nikasema  wazi  kabisa  bila  kungata  meno  kuwa  hiyo  pesa iitwayo asilimia kumi au pesa nyingine yoyote   mtu  atakayolipa  serikali  za  mitaa eti  kwakuwa amenunua  au  ameuza   eneo  lake   ni rushwa. Na  leo  nakumbusha na  kusisitiza  tena   kuwa  Watanzana wajue   ukitoa   pesa  ile   umetoa ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JIHADHARI, HAUTARURUHUSIWA KUFANYA TRANSFER AU KUPATA HATI IKIWA UNA MKATABA WA SERIKALI ZA MITAA.

Na Bashir YakubHapo  awali  niliandika  namna  sheria isivyowaruhusu  viongozi  wa  serikali  za mitaa  kuandaaa  na  kusimamia  mauzo  na manunuzi  ya nyumba au viwanja. Nikasema  kitu hicho  hakiruhusiwi  katika  sheria  na wanaofanya  hivyo  hakika  wako  katika  makosa  makubwa.  Nikasisitiza kuwa  wewe ambaye  mkataba  wako  umeandikiwa serikali za mitaa  ujue wazi  kuwa mkataba wako wa manunuzi   hauna  hadhi  kisheria. Huu ni ukweli  ambao  nitazidi  kuusema ili  kuwaepusha watu  na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JIHADHARI, HAYA NI MAZINGIRA KISHERIA AMBAPO ALIYEKUUZIA ARDHI ANAWEZA KUDAI TENA UMILIKI NA AKAUPATA

Na  Bashir  Yakub.
Kisheria yapo  mazingira  ambapo  mtu  aliyeuza  ardhi  anaweza  kuidai tena  ardhi  ileile  aliyouza kutoka kwa mnunuzi na  akaipata. Na  hapa  haijalishi  kama  mnunuzi  ameiendeleza  ardhi  kwa  kiasi  gani au  amebadilisha hati na kuingia  jina  lake  na  vitu  vingine  kama  hivyo.  
Sheria  imetoa  haki  hii  kwa  muuzaji  hasa  iwapo  masharti  katika   mkataba  wa  mauziano  yamevunjwa. Kwa  kawaida  kila  mkataba  wa  mauziano  ya  ardhi  huwa  na  masharti  ambayo...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu,  Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’. kwa sababu wanamjengea hisia tofauti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani