Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu,  Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’. kwa sababu wanamjengea hisia tofauti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAIMATHA AKWAA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Gladness Mallya SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo anazoziuza kuwa hazifanyi kazi.
Sosi ameibua utapeli huo wa Maimatha kwa kusema: Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse akipozi katika duka lake la vipodozi. “Maimatha anatapeli watu na dawa zake, yaani tumepaka mabinti wengi hazitusaidii chochote, ni...

 

10 years ago

GPL

JOYCE KIRIA AKWAA SKENDO YA UTAPELI

Hosti wa Kipindi cha Wanawake Live kupita Televisheni ya EATV, Joyce Kiria. Why Joyce? Hosti wa Kipindi cha Wanawake Live kupita Televisheni ya EATV, Joyce Kiria yupo kwenye wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kwa marafiki zake (majina yanahifadhiwa kwa sasa) akidaiwa kuwashawishi kuingia kwenye biashara ya Mtandao ya Telexfree Network Marketing. Kwa mujibu wa sosi makini, ishu hiyo imeibuka juzikati ambapo Joyce...

 

11 years ago

GPL

SKENDO MADAWA YA KULEVYA YAMNYOOSHA MASOGANGE

Stori: Mwandishi Wetu VIDEO Queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amekuwa makini na kusafiri kwa tahadhari kubwa baada ya kunusurika kwenye msala wa madawa yaliyodaiwa kuwa ni ya kulevya nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ mwaka jana. Video Queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Masogange alisema kwa sasa akipewa begi na mtu yeyote lazima alikague kwani hakufanya hivyo...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Tanzania Daima

Jihadhari na utapeli huu

KUNDI la matapeli limeibuka na kuwaliza mamilioni ya fedha watu wanaosaka ajira nchini, Tanzania Daima limebaini. Matapeli hao hujifanya maofisa wa baadhi ya ofisi za umma ambao hutangaza kwamba kuna...

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE...

Na  Waandishi Wetu
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa ni Mkongomani, Risasi Jumamosi limedondokewa na ‘kismati’. Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Katika mahojiano ‘spesho’ na gazeti hili...

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC yawatahadharisha juu ya utapeli

BBC inawatahadharisha wasikilizaji na watumiaji wa mtandao wake dhidi ya watu wenye nia ya kitapeli kwa kutumia jina lake.

 

10 years ago

GPL

FEROOZ MBARONI KWA UTAPELI

Mayasa Mariwata na Makongoro Ogin’g
Tena? Kwa mara nyingine staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho ametiwa mbaroni kwa utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ fedha za kumpangisha nyumba jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Tony Noah kiasi cha zaidi ya Sh. milioni 3.2 kisha kuingia mitini ikielezwa kuwa nyumba hiyo ina mgogoro. Staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, ilidaiwa kwamba,...

 

9 years ago

Global Publishers

Amanda atumika kwa utapeli

GLOBALTVONLINE14Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.

Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.

Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani