JIHADHARINI NA UTAPELI HUU KUHUSU MIKOPO
![](http://4.bp.blogspot.com/-XWAi4cecbk4/UxxVCUBcnUI/AAAAAAAAVrY/Bn3UjyDTCpQ/s72-c/1.jpg)
Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Nimelazimika Kuandika Ujumbe huu kwaajili ya kuutarifu umma wa watanzania mara baada ya kupokea Ujumbe mfupi wa Sms kutoka Kwa rafiki yangu Mroki Mroki juu ya Kuingiliwa kwa akaunti ya Facebook na kuandika Ujumbe wa Kitapeli.
Huu ni Ujumbe ulioandikwa katika Ukurasa wa Rafiki yangu Mroki Mroki katika Ukurasa wake wa Facebook ukijaribu Kuwaaminisha watanzania Juu ya Mikopo inayotolewa na Kutumia Mbinu mbalimbali ili kuweza kutapeli watu.
Baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jihadhari na utapeli huu
KUNDI la matapeli limeibuka na kuwaliza mamilioni ya fedha watu wanaosaka ajira nchini, Tanzania Daima limebaini. Matapeli hao hujifanya maofisa wa baadhi ya ofisi za umma ambao hutangaza kwamba kuna...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpe9VZ815gWDh9M6Ef8oPmwuoJpPwMEsUEFCrtqb-If9b4QTH0vGy1devbwqD6FzIfeZ7XJll0Tf*aRpwpl4xSQ/UTAPELI.jpg?width=650)
UTAPELI MZITO: WABONGO WALIZWA 'MIKOPO YA OBAMA, JK'
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cQ91oMUMMU4/VMqvDuUxZ1I/AAAAAAAHATM/pHLKAg3we2c/s72-c/12.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA GARI JIHADHARI NA UTAPELI HUU WA KIMKATABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-cQ91oMUMMU4/VMqvDuUxZ1I/AAAAAAAHATM/pHLKAg3we2c/s1600/12.jpg)
1. KUTAPELIWA KATIKA UNUNUZI WA GARI.
Ununuzi wa magari sawa na biashara nyingine yoyote unahitaji umakini. Lakini ununuzi wa gari unahitaji umakini mkubwa zaidi pengine kuliko mali nyingine yoyote inayohamishika kwa sasa. Hii ni kutokana na kukua kwa biashara ya bidhaa hiyo kulikoleteleza kujipenyeza kwa matapeli hasa mijini. Utapeli wa magari ni mkubwa kuliko watu wanavyofikiria na idadi ya wanaotapeliwa kwa siku inaelekea kulingana na idadi ya magari yanayouzwa...
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Onyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo
Tumepata taarifa kwamba kuna baadhi ya watu wasiowaaminifu wanaojifanya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na kutumia mwanya huo kuwadanganya wananchi kujaza fomu feki kama njia ya kupata ajira katika kampuni yetu. Inadaiwa kwamba kila fomu inatozwa kiasi cha TZS 20,000 (Shilingi elfu ishirini).
Tigo inapenda kuwataarifu wale wote wanaotafuta ajira katika kampuni yetu na umma kwa ujumla kwamba hakuna fomu za aina hii zinazotolewa kutoka mawakala, matawi au idara yoyote ya kampuni yetu....
11 years ago
Michuzi02 Jul
11 years ago
Habarileo08 Dec
Chenge aipa somo serikali kuhusu mikopo
SERIKALI imeshauriwa kukopa ndani ya ukomo wa Sh bilioni 1,120 kutokana na masharti ya Shirika la Kimataifa la Fedha(IMF) na Benki ya Dunia ili kuweza kugharamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati, kama ujenzi wa reli na bandari.
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Halima Mdee: Jihadharini na Matapeli
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima Mdee (pichani) amewatahadharisha wananchi juu ya utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wasiojulikana katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake kwa kudai kuwa anatoa mikopo bila riba.
siku za hivi karibuni kumekuwapo na matukio ambayo yamekuwa yakiwakuta baadhi ya viongozi wakiwemo Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Mbuge wa Monduli Edward Lowassa.
kwa mujibu wa Mdee ni kuwa wakati muhafaka kwa Jeshi la Polisi...
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Jihadharini na matumizi ya Antibiotiki kiholela
Mwenyekiti wa Antibiotic Resistance Partnership (GARP), Profesa Said Aboud kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi za Tiba Shirikishi (MUHAS) kushoto akitoa ripoti ripoti ya dunia kuhusu matumizi na usugu wa dawa za Antibiotiki ya mwaka 2015,uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.Katikati ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohammed Bakarina kulia ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irunde.
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohammed Bakari (kushoto wa pili)...
11 years ago
Dewji Blog18 Jun
Vijana Babati wapata mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Vijana
Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga akisalimiana na Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Omari M. Mkombole alipomtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya Mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo Mjini Babati.
Na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini – WHVUM
VIJANA wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya...