Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chenge aipa somo serikali kuhusu mikopo

SERIKALI imeshauriwa kukopa ndani ya ukomo wa Sh bilioni 1,120 kutokana na masharti ya Shirika la Kimataifa la Fedha(IMF) na Benki ya Dunia ili kuweza kugharamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati, kama ujenzi wa reli na bandari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mnyika aipa angalizo serikali kuhusu ajali.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, John Mnyika.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, John Mnyika, ameitaka serikali kulichukulia kwa uzito tatizo la kukithiri kwa ajali za barabarani, kama ambavyo taifa linavyotumia nguvu kubwa kukabiliana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) yaliyofumka kwa kasi kubwa nchini.

Mnyika alisema takwimu za kiwango cha ajali zilizotokea ndani ya siku 102...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahiza aipa somo Ewura

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutafuta namna ya kuwasaidia wananchi wenye uwezo mdogo ambao hawana uwezo wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda aipa somo TIC

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kuhakikisha kinafanya kazi na kutoa mchango katika mkakati wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Pinda alitoa rai hiyo wakati wa kuizindua...

 

10 years ago

Habarileo

Mkenya aipa somo TFF soka la wanawake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Kenya (Harambee Starlets), David Ouma amesema kuwa wakati umefika kuwawezesha wanawake wa Tanzania katika soka ili wapate nafasi sawa na wanaume.

 

10 years ago

Habarileo

Mzee mkoani Dodoma aipa somo la uadilifu CCM

MMOJA wa wazee wa mkoa wa Dodoma Athumani Makole (66) amesema kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuaminiwa na kuendelea kuongoza nchi ni lazima kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wachaguliwe viongozi waadilifu watakaofanya kazi kwa uaminifu ili kurudisha imani yao kwa wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAPEWA SOMO KUHUSU VIRUSI VYA CORONA



Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu na Utawala Bw. James Kibamba akizungumza na sehemu ya watumishi waliohudhulia mafunzo kuhusu namna sahihi ya kujinga na virusi vya ugonjwa wa Corona wakati akimkaribisha muwezeshaki Dkt. Peter Kibacha ambaye ni mtalaam bingwa wa afya na mtoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. zoezi la kutoa elimu hiyo limefanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliopo Jijini Dar es Salaam.
Bw. Yusuph Varisanga kutoka kitengo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KOMBANI AIPA SOMO MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ( kati kati) akisisitiza jambo.
 Katibu Mkuu wa TSSA, Meshack Bandawe ( kushoto ) akiwa na mwezeshaji wa mafunzi, Patrick Ngwila.
Na John Nditi, Morogoro
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, ameitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini...

 

5 years ago

Michuzi

MKWIRU AIPA SOMO LA UFUGAJI NYUKI NA MIZINGA SEKONDARI YA MWAMBISI-MWALIMU SIMBA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Shule ya sekondari Mwambisi ,Kongowe Kibaha mkoani Pwani ,imebuni mradi wa ufugaji nyuki na mizinga kwa ajili ya asali ili kujipatia kipato pamoja na kufundisha wanafunzi somo la stadi za maisha kupitia mradi huo.

Aidha shule hiyo, inatunza mazingira kwa kupanda miti maeneo ya shule na kuotosha miche ya miti mbalimbali ambapo kwa mwaka huu wameotesha miche 10,000.

Akizungumzia ubunifu huo ,mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mwambisi Joseph Simba alisema ,kwasasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani