MKWIRU AIPA SOMO LA UFUGAJI NYUKI NA MIZINGA SEKONDARI YA MWAMBISI-MWALIMU SIMBA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Shule ya sekondari Mwambisi ,Kongowe Kibaha mkoani Pwani ,imebuni mradi wa ufugaji nyuki na mizinga kwa ajili ya asali ili kujipatia kipato pamoja na kufundisha wanafunzi somo la stadi za maisha kupitia mradi huo.
Aidha shule hiyo, inatunza mazingira kwa kupanda miti maeneo ya shule na kuotosha miche ya miti mbalimbali ambapo kwa mwaka huu wameotesha miche 10,000.
Akizungumzia ubunifu huo ,mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mwambisi Joseph Simba alisema ,kwasasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
LEAT WATOA MIZINGA 350 KWA VIKUNDI VYA UFUGAJI NYUKI





5 years ago
Michuzi
MKWIRU NA USHIRIKA WAKE ONE TEAM KUIPAISHA TIMU YA MWAMBISI SEK KUPATA UZOEFU GERMAN
WADAU wa michezo kutoka German One Team kwa ushirika na Ibrahim Mkwiru ,wameeleza ndoto yao ya kuchukua timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kike, katika shule ya sekondari ya Mwambisi kwenda nchini Ujeruman kuchota uzoefu na timu nyingine za shule za sekondari nchini humo ili kuwa na uzoefu.
Aidha ushirika huo,umeeleza mpira wa miguu sio kwa ajili ya watoto wa kiume pekee hivyo watoto wa kike wanapaswa kujiandaa kuucheza kuanzia mashuleni ili kuweza kuchukuliwa na...
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Makala ya kuongeza uzalishaji mazao ya Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa na kuondokana na mizinga ya asili katika mkoa wa Singida
Na Jumbe Ismailly, Singida
HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.
Mazao ya chakula na biashara yanayolimwa na wananchi hao ni pamoja na mtama,uwele,alzeti,vitunguu na dengu na zao la kipaumbele ni asali kwa ajili ya chakula na biashara.
Halmashauri ya wilaya ya Singida ina maeneo mapana ya ufugaji nyuki ikiwemo misitu ya watu binafsi na misitu ya ardhi ya Kijiji ukiwemo msitu wa Hifadhi wa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Oct
‘Mizinga ya nyuki izingatie viwango’
WATENGENEZAJI wa mizinga ya nyuki wametakiwa kuzingatia vipimo, viwango ili kuwezesha nyuki kujenga masega na kuongeza uzalishaji wa asali kwa kiwango kikubwa. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Mizinga nyuki kwa vikundi
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Watoa mizinga ya nyuki kuokoa Mlima K’njaro
5 years ago
Michuzi
KOKA AIPATIA JUMUIYA YA WAZAZI KIBAHA MIZINGA YA NYUKI
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Slyvestry Koka, amekabidhi Mizinga kumi ya Nyuki Yenye Thamani ya Shilingi Milioni 1.5 kwa Umoja wa Wazazi(CCM) Kibaha Mjini kwa Ajili ya Mradi wa Ufugaji wa Nyuki.
Akizungumza Wakati wa Makabidhiano Hayo, katika Ofisi za CCM Kibaha Mjini, Jana, Mbunge Koka Aliipongeza Jumuiya Hiyo kwa Kupata Mwenyekiti Mwenye Maono Makubwa ya Kuiendeleza Jumuiya Hiyo kwa Kuitafutia Miradi Mbalimbali.
"Niwapongeze Jumuiya ya Wazazi Kibaha Mjini...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Faida za kiuchumi za ufugaji nyuki
UFUGAJI nyuki nchini hufanyika kwenye misitu na mapori ya akiba na asilimia ndogo hufanyika katika maeneo ya kilimo. Wananchi waishio jirani na maeneo ya hifadhi za misitu na baadhi ya...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Sekta ufugaji nyuki kuzalisha zaidi