Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOKA AIPATIA JUMUIYA YA WAZAZI KIBAHA MIZINGA YA NYUKI

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Slyvestry Koka, amekabidhi Mizinga kumi ya Nyuki Yenye Thamani ya Shilingi Milioni 1.5 kwa Umoja wa Wazazi(CCM) Kibaha Mjini kwa Ajili ya Mradi wa Ufugaji wa Nyuki.
Akizungumza Wakati wa Makabidhiano Hayo, katika Ofisi za CCM Kibaha Mjini, Jana, Mbunge Koka Aliipongeza Jumuiya Hiyo kwa Kupata Mwenyekiti Mwenye Maono Makubwa ya Kuiendeleza Jumuiya Hiyo kwa Kuitafutia Miradi Mbalimbali.
"Niwapongeze Jumuiya ya Wazazi Kibaha Mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Makala ya kuongeza uzalishaji mazao ya Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa na kuondokana na mizinga ya asili katika mkoa wa Singida

bidhaa[1]

Na Jumbe Ismailly, Singida      

HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.

Mazao ya chakula na biashara yanayolimwa na wananchi hao ni pamoja na mtama,uwele,alzeti,vitunguu na dengu na zao la kipaumbele ni asali kwa ajili ya chakula na biashara.

Halmashauri ya wilaya ya Singida ina maeneo mapana ya ufugaji nyuki ikiwemo misitu ya watu binafsi na misitu ya ardhi ya Kijiji ukiwemo msitu wa Hifadhi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Mizinga ya nyuki izingatie viwango’

WATENGENEZAJI wa mizinga ya nyuki wametakiwa kuzingatia vipimo, viwango ili kuwezesha nyuki kujenga masega na kuongeza  uzalishaji wa asali kwa kiwango kikubwa. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Mizinga nyuki kwa vikundi

Vikundi saba vilivyopo Kata ya Kiwele na Nduli mkoani Iringa vimekabidhiwa mizinga 100 ya nyuki kwa ajili ya ufugaji nyuki ili kujikwamua kiumaskini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Koka apiga tafu Polisi Kibaha

MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amewataka askari polisi kufanya kazi kwa uadilifu na heshima ili kuendelea kujenga imani kwa wananchi wanaowahudumia. Koka, alitoa wito huo jana wakati akikabidhi msaada...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoa mizinga ya nyuki kuokoa Mlima K’njaro

Katika harakati za kulinda msitu wa Mlima Kilimanjaro na kuokoa theluji yake, Shirika la Kuhifadhi Mazingira (Teaca), limetoa msaada wa mizinga ya nyuki katika vijiji vinavyozunguka mlima huo ili kuwapatia wananchi ajira mbadala na kuachana na tabia ya uharibifu wa misitu.

 

9 years ago

Michuzi

LEAT WATOA MIZINGA 350 KWA VIKUNDI VYA UFUGAJI NYUKI

Sehemu ya mizinga hiyo iliyokabidhiwa.Afisa Utumishi, Allan Mwela akikabidhi moja ya mizinga kwa mwanachama wa kikundi cha wafuga nyuki kutoka kijiji cha Utosi kilichoko wilaya ya Mufindi Baadhi ya wafugaji nyuki wakisikiliza hotuba ya mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela. (picha na Denis Mlowe.Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesera akizungumza na wafugaji mara baada ya kukabidhi mizinga ya nyuki.Mkuu wa wilaya Richard Kasesela akikabidhi moja ya mizinga 175 kwa mfugaji nyuki kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

MKWIRU AIPA SOMO LA UFUGAJI NYUKI NA MIZINGA SEKONDARI YA MWAMBISI-MWALIMU SIMBA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Shule ya sekondari Mwambisi ,Kongowe Kibaha mkoani Pwani ,imebuni mradi wa ufugaji nyuki na mizinga kwa ajili ya asali ili kujipatia kipato pamoja na kufundisha wanafunzi somo la stadi za maisha kupitia mradi huo.

Aidha shule hiyo, inatunza mazingira kwa kupanda miti maeneo ya shule na kuotosha miche ya miti mbalimbali ambapo kwa mwaka huu wameotesha miche 10,000.

Akizungumzia ubunifu huo ,mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mwambisi Joseph Simba alisema ,kwasasa...

 

5 years ago

Michuzi

Jumuiya za CCM Watakiwa kuanzisha miradi ya nyuki

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Edmond Mndolwa akikata utepe wakati wa kukabidhi mashine ya kufyatua matofali wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Edmond Mndolwa akikabidhi viti wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aipa changamoto Jumuiya ya wazazi

SIKU moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne, Jumuiya ya Wazazi ya CCM imetakiwa kuhakikisha shule yao inakuwa moja ya shule 10 kitaifa, wakati ikijivunia kuwa na shule nyingi. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa changamoto hiyo jana mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani