Pinda aipa changamoto Jumuiya ya wazazi
SIKU moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne, Jumuiya ya Wazazi ya CCM imetakiwa kuhakikisha shule yao inakuwa moja ya shule 10 kitaifa, wakati ikijivunia kuwa na shule nyingi. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa changamoto hiyo jana mjini hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Pinda aipa changamoto sekta ya afya
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s72-c/unnamed+(3).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-00Yq2ceBxJQ/UwjJgcK41uI/AAAAAAAFOtQ/HyZ92DHFCxg/s1600/unnamed+(4).jpg)
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Mbunge Mnyika aipa changamoto Alat
10 years ago
Habarileo25 Oct
Migiro aipa changamoto taasisi ya wanasheria
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Asha-Rose Migiro ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, kuhakikisha inatoa mafunzo kwa wanasheria katika eneo la mikataba ya kimataifa hususan katika mikataba ya rasilimali za nchi.
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Chiza aipa changamoto Bodi Rubada
WAJUMBE wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) wametakiwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika kipindi chao cha miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Balozi Adadi Rajabu aipa changamoto bandari Dar
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Pinda aipa somo TIC
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kuhakikisha kinafanya kazi na kutoa mchango katika mkakati wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Pinda alitoa rai hiyo wakati wa kuizindua...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Pinda aipa CCM wakati mgumu Bunda
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Jumuiya ya Wazazi Rukwa yatoa tahadhari
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Rukwa, imekitaka chama hicho kuwa makini katika kutathimini uwezo na kukubalika kwao katika jamii wagombea wa nafasi mbalimbali katika chaguzi...