Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aipa changamoto sekta ya afya

Wadau wa Sekta ya Afya nchini wametakiwa kushirikiana na Serikali kuangalia namna ya kupunguza uhaba wa wataalamu wa afya ikiwamo madaktari na wauguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda aipa changamoto Jumuiya ya wazazi

SIKU moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne, Jumuiya ya Wazazi ya CCM imetakiwa kuhakikisha shule yao inakuwa moja ya shule 10 kitaifa, wakati ikijivunia kuwa na shule nyingi. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa changamoto hiyo jana mjini hapa.

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WIKI YA CHANJO YAIBUA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA AFYA MAKETE

Ubovu wa miundombinu ya barabara wakati wa masika katika wilaya ya Makete mkoani Njombe umeelezwa kuwa miongoni mwa vitu vinavyochangia huduma ya chanjo kutofika kwa wakati katika zahanati zinazotoa chanjo wilayani hapo.    Hayo yameebainishwa na Mganga mfawidhi hospitali ya wilaya ya Makete Dkt. Michael Gulaka hii leo wakati akisoma taarifa ya idaya ya afya siku ya uzinduzi wa wiki ya chanjo iliyoadhimishwa kiwilaya katika Kata ya Isapulano wilayani Makete. Dkt Gulaka ametaja changamoto...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka sekta binafsi kuwekeza masuala ya afya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wataalamu wa afya kuangalia namna Sekta binafsi zinaweza kuwekeza katika masuala ya afya ili kuisaidia serikali katika kusimamia na kuendesha shughuli za utoaji huduma ambazo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sekta binafsi ihusishwe kutoa huduma za afya — Pinda

PG4A9958

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipanue wigo wa utoaji huduma za msingi kwa kuishirikisha zaidi sekta binafsi nchini.

“Ninawasihi Waziri wa Afya na Naibu wake kwa vile ni wapya bado wabadili mtizamo wa wizara hii kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Mnyika aipa changamoto Alat

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amekosoa madai ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat) kwamba Tume ya Mabadiliko ya Katiba haikuingiza maoni yake katika Rasimu ya Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chiza aipa changamoto Bodi Rubada

WAJUMBE wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) wametakiwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika kipindi chao cha miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Migiro aipa changamoto taasisi ya wanasheria

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Asha-Rose Migiro ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, kuhakikisha inatoa mafunzo kwa wanasheria katika eneo la mikataba ya kimataifa hususan katika mikataba ya rasilimali za nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani