Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Migiro aipa changamoto taasisi ya wanasheria

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Asha-Rose Migiro ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, kuhakikisha inatoa mafunzo kwa wanasheria katika eneo la mikataba ya kimataifa hususan katika mikataba ya rasilimali za nchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda aipa changamoto sekta ya afya

Wadau wa Sekta ya Afya nchini wametakiwa kushirikiana na Serikali kuangalia namna ya kupunguza uhaba wa wataalamu wa afya ikiwamo madaktari na wauguzi.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aipa changamoto Jumuiya ya wazazi

SIKU moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne, Jumuiya ya Wazazi ya CCM imetakiwa kuhakikisha shule yao inakuwa moja ya shule 10 kitaifa, wakati ikijivunia kuwa na shule nyingi. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa changamoto hiyo jana mjini hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chiza aipa changamoto Bodi Rubada

WAJUMBE wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) wametakiwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika kipindi chao cha miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Mnyika aipa changamoto Alat

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amekosoa madai ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat) kwamba Tume ya Mabadiliko ya Katiba haikuingiza maoni yake katika Rasimu ya Katiba Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Adadi Rajabu aipa changamoto bandari Dar

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu ameishauri Bandari ya Dar es Salaam kuongeza kasi ya kushusha mizigo ya wafanyabiashara wa Zimbabwe ili kuimarisha uhusiano wa kiuchumi.

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi Taasisi ya Mufunzo Uanasheria kupata mikopo - Dkt. Migiro

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akikagua Jengo la Mahakama ya Mafunzo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania leo (Ijumaa, oktoba 24, 2014) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu wake Mhe. Angellah Jasmine Kairuki na kulia ni Mkuu wa Taasisi hiyo Jaji Dkt. Gerald Ndika. Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akikagua Jengo la Mahakama ya Mafunzo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania leo (Ijumaa, oktoba 24, 2014) jijini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Migiro: Wanafunzi Taasisi ya Mufunzo Uanasheria sasa kupata mikopo

Law School 1

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akikagua Jengo la Mahakama ya Mafunzo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Ijumaa, oktoba 24, 2014) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu wake Mhe. Angellah Jasmine Kairuki na kulia ni Mkuu wa Taasisi hiyo Jaji Dkt. Gerald Ndika.

Na Mwandishi wetu

 

Serikali inakamilisha taratibu za kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria unaolenga kurekebisha Sheria ya Bodi ya Mikopo ili kuwawezesha wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Migiro akabidhi Katiba inayopendekezwa kwa taasisi za kidini, asasi za kiraia na walemavu

Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba Inayopendekezwa yenye maandishi yaliyokuzwa mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (kulia) katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi za kidni na asasi za kiraia

WKS Kundecha

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria).

WKS - Albino

Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani