Chiza aipa changamoto Bodi Rubada
WAJUMBE wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) wametakiwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika kipindi chao cha miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Dec
CAG akague Bodi ya Sukari- Waziri Chiza
11 years ago
Habarileo23 Feb
Pinda aipa changamoto Jumuiya ya wazazi
SIKU moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne, Jumuiya ya Wazazi ya CCM imetakiwa kuhakikisha shule yao inakuwa moja ya shule 10 kitaifa, wakati ikijivunia kuwa na shule nyingi. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa changamoto hiyo jana mjini hapa.
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Mbunge Mnyika aipa changamoto Alat
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Pinda aipa changamoto sekta ya afya
10 years ago
Habarileo25 Oct
Migiro aipa changamoto taasisi ya wanasheria
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Asha-Rose Migiro ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, kuhakikisha inatoa mafunzo kwa wanasheria katika eneo la mikataba ya kimataifa hususan katika mikataba ya rasilimali za nchi.
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Balozi Adadi Rajabu aipa changamoto bandari Dar
11 years ago
Habarileo20 Mar
Bodi ya wabunifu majengo yapewa changamoto
NAIBU Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki, ameipa changamoto bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuhakikisha majengo yanayojengwa nchini yanakuwa bora na salama kwa makazi ya watu na kuepusha majanga ya majengo kuporomoka kama ilivyowahi kutokea.
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Vigogo Rubada wasimamishwa
![Steven Wassira](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Stephen-Wassira-300x180.jpg)
Waziri wa kilimo, chakula na ushirika Steven Wassira
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
SERIKALI imewasimamisha kazi vigogo watatu wa Mamlaka ya Ustawishaji Bonde la Mto Rufiji (Rubada) kwa muda usiofahamika.
Vigogo hao wamesimamishwa kazi baada ya kutuhumiwa kwa ubadhilifu wa zaidi ya Sh bilioni 2.3.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, aliwataja vigogo hao ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Aloyce Masanja, Mkurugenzi wa Mipango...
11 years ago
Habarileo02 May
RUBADA wahimizwa kutimiza malengo
WAJUMBE wa Bodi ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada), wamehimizwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika muda wao wa miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa mamlaka hiyo.