Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG akague Bodi ya Sukari- Waziri Chiza

Serikali imemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kukagua Bodi ya Sukari ili kubaini kama kuna aliyehusika kutoa kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa mwaka 2013/14.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UBADHIRIFU KATIKA TASINIA NDOGO YA TUMBAKU WAZIRI CHIZA AKABIDHI RIPOTI YA CAG

Na. Job Mika - WKCU
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza (Mb) hivi karibuni alimkabidhi, Inspecta Jenerali wa Jeshi la Polisi (IGP) Ripoti ya ukaguzi katika Tasnia ya tumbaku, ili kubaini, ubadhirifu na waliosababisha ubadhirifu huo uliopelekea wakulima wa tumbaku kutoa malalamiko yao kwa serikali kutokana na hasara waliopata katika msimu wa kilimo wa 2012/2013.
Tuhuma za ubadhirifu ndani ya Tasnia ya tumbaku ziliwalenga Chama Kikuu cha Ushirika cha WETCU, wakandarasi...

 

11 years ago

Habarileo

'CAG akague matumizi Bunge Maalum'

WAJUMBE wa Bunge Maalamu la Katiba, kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), limemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu kwenye matumizi ya fedha za bunge hilo, ili kubaini ufujaji wa fedha usio halali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chiza kufunguka sakata la uingizwaji sukari leo

SIKU moja baada ya Tanzania Daima kuripoti kuhusu sakata la sukari inayoozea katika maghala ya kiwanda cha Kilombero mkoani Morogoro, hatimaye Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Christopher Chiza, amesema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chiza aipa changamoto Bodi Rubada

WAJUMBE wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) wametakiwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika kipindi chao cha miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI CHIZA AWASILI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Zubeda Ng'olongo kama ishara ya kumkaribisha ofisini hapo, leo Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya...

 

10 years ago

Habarileo

PAC yaagiza marejeo ya sheria ya Bodi ya Sukari

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeiagiza Bodi ya Sukari kufanya marejeo ya sheria inayoiunda, iruhusu marekebisho yatakayowaondoa wajumbe wenye maslahi binafsi katika masuala yanayohusu uzalishaji na uuzaji sukari.

 

10 years ago

Habarileo

Bodi ya Mikopo na CAG kushirikiana

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas MwaisobwaBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepanga kushirikiana na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuhakikisha kunakuwapo uwajibikaji wa waajiri katika urejeshaji wa mikopo.

 

10 years ago

Mwananchi

CAG kuongoza Bodi ya Umoja wa Mataifa

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Assad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) nafasi atakayoanza kuitumikia kuanzia Januari Mosi, mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

CAG ahoji wabunge kuendelea na ujumbe wa bodi

 Mapendekezo ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ya kuitaka Serikali kutowateua wabunge kuwa wajumbe wa bodi za mashirika ya umma, hayajatekelezwa kwa miaka mitatu mfululizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani