Bodi ya Mikopo na CAG kushirikiana
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepanga kushirikiana na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuhakikisha kunakuwapo uwajibikaji wa waajiri katika urejeshaji wa mikopo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAELEZEA UREJESHWAJI WA MIKOPO
5 years ago
MichuziBODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA
10 years ago
VijimamboBODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.
Kupitia...
10 years ago
MichuziBODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB
Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.
Na Mwandishi Wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...
10 years ago
Mwananchi11 Dec
CAG kuongoza Bodi ya Umoja wa Mataifa
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Bodi ya Mikopo yafungua maombi
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imefungua maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na taasisi za elimu ya juu zinazotambulika kwa masomo ya Shahada mbalimbali...
11 years ago
Habarileo01 Jul
Bodi ya Mikopo kuwashitaki waajiri
BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga kuwachukulia hatua waajiri wote nchini, kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za wahitimu wa elimu ya juu, wanaodaiwa na Bodi hiyo.
10 years ago
Habarileo25 Nov
Muswada wa Bodi ya Mikopo kizungumkuti
BUNGE jana liliamuru kwa mara nyingine, Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2014, kwenda kufanyiwa marekebisho na kurudishwa kwa sehemu ya muswada huo kuhusu marekebisho ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu.