UBADHIRIFU KATIKA TASINIA NDOGO YA TUMBAKU WAZIRI CHIZA AKABIDHI RIPOTI YA CAG

Na. Job Mika - WKCU
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza (Mb) hivi karibuni alimkabidhi, Inspecta Jenerali wa Jeshi la Polisi (IGP) Ripoti ya ukaguzi katika Tasnia ya tumbaku, ili kubaini, ubadhirifu na waliosababisha ubadhirifu huo uliopelekea wakulima wa tumbaku kutoa malalamiko yao kwa serikali kutokana na hasara waliopata katika msimu wa kilimo wa 2012/2013.
Tuhuma za ubadhirifu ndani ya Tasnia ya tumbaku ziliwalenga Chama Kikuu cha Ushirika cha WETCU, wakandarasi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Nov
IGP akabidhiwa ripoti ubadhirifu wa tumbaku
10 years ago
Mwananchi13 Dec
CAG akague Bodi ya Sukari- Waziri Chiza
10 years ago
Mtanzania24 Nov
… Waziri wa JK adaiwa kuiba ripoti ya CAG

Rais Jakaya Kikwete
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
JOTO la kashfa ya wizi wa Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limeendelea kupanda mjini Dodoma, huku mmoja wa mawaziri waandamizi akidaiwa kuuiba ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kunyofoa baadhi ya kurasa kisha kuzisambaza mitaani.
Tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG bungeni wiki iliyopita, kumeibuka makundi mawili yanayokinzana moja likitaka...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Mshirika wa Waziri Muhongo anaswa na ripoti feki ya CAG
JESHI la Polisi mkoani hapa, linamshikilia mtu mmoja kwa madai ya kukutwa na ripoti ya kughushi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG). Ripoti hiyo ambayo ni matokeo...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
CAG achunguza ubadhirifu TPRI
TAASISI ya Utafiti wa Dawa za Mimea na Wadudu (TPRI) yenye makao makuu mkoani Arusha imekumbwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha zaidi ya sh milioni 317 ambazo hazijulikani matumizi...
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Ripoti yaonyesha ubadhirifu wa fedha A Kusini
11 years ago
Michuzi
TANZANIA YAPIGA HATUA KATIKA UDHIBITI WA SILAHA NDOGO NDOGO NA NYEPESI

Imeelezwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na tatizo la uzagaaji wa silaha ndogo ndogo na nyepesi kutokana na nchi nyingine za Afrika kuja kujifunza jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Meshack Ndaskoi wakati akifungua semina ya jinsia na uthibiti wa silaha ndogondogo na nyepesi iliyofanyika katika chuo cha Taaluma...
10 years ago
VijimamboWAZIRI CHIZA AWASILI OFISI YA WAZIRI MKUU
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Ripoti CAG balaa
RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...