Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti yaonyesha ubadhirifu wa fedha A Kusini

Katika ripoti yake ya hivi karibuni, mkaguzi mkuu Kimi Makwetu alisema taifa la Afrika Kusini lilipoteza zaidi ya dola milioni 65 katika kipindi cha makadirio ya pesa za uma cha mwaka 2014-2015

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

IGP akabidhiwa ripoti ubadhirifu wa tumbaku

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amekabidhiwa taarifa ya ukaguzi wa hesabu za vyama vya msingi vya ushirika mkoani hapa iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

GPL

Yanga yaonyesha jeuri ya fedha

Kikosi cha Yanga. Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeonyesha jeuri ya fedha kwa wachezaji wake kufuatia kuwaahidi donge nono kila mechi kati ya walizobakiza ili kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Kabla ya mechi za jana Jumapili, Yanga ilikuwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 46, nyuma ya Azam iliyokuwa na pointi 50. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha...

 

10 years ago

Michuzi

UBADHIRIFU KATIKA TASINIA NDOGO YA TUMBAKU WAZIRI CHIZA AKABIDHI RIPOTI YA CAG

Na. Job Mika - WKCU
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza (Mb) hivi karibuni alimkabidhi, Inspecta Jenerali wa Jeshi la Polisi (IGP) Ripoti ya ukaguzi katika Tasnia ya tumbaku, ili kubaini, ubadhirifu na waliosababisha ubadhirifu huo uliopelekea wakulima wa tumbaku kutoa malalamiko yao kwa serikali kutokana na hasara waliopata katika msimu wa kilimo wa 2012/2013.
Tuhuma za ubadhirifu ndani ya Tasnia ya tumbaku ziliwalenga Chama Kikuu cha Ushirika cha WETCU, wakandarasi...

 

10 years ago

Habarileo

Ngara katika kashfa ya ubadhirifu wa fedha

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ngara inadaiwa kukumbwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha za umma katika miradi mitatu kwenye maeneo tofauti hali ambayo Kamati ya Utekelezaji ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera imeamuru irudiwe na kukamilishwa.

 

5 years ago

CCM Blog

DK. BASHIRU AKERWA NA UBADHIRIFU WA FEDHA MOROGORO VIJIJINI

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally akimpokea aliyekuwa mwanachama na Diwani wa ACT- Wazalendo Kata ya Tomondo Khamis Msangule baada ya yeye na Diwani mwenzake kwa tiketi ya chama hicho Juma Manyile wa kata ya Selembala pamoja na viongozi mbalimbali wa chama hicho na Chadema, kutangaza kujivua uanachama wa vyama hivyo na kujiunga na CCM katika mkutano wa ndani wa viongozi wa mashina, Kata, wilaya na mkoa, uliofanyika  baada ya kutembelea Kituo cha Afya cha Mikese, Morogoro...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. BASHIRU AKERWA NA UBADHIRIFU WA FEDHA MOROGORO VIJIJINI





……………………………………………………………………………………………….

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa akerwa na ubadhirifu wa fedha katika fidia ya ujenzi wa kituo cha Afya Mikese Morogoro Vijijini.

Dkt. Bashiru amekerwa na ubadhirifu huo kutokana na matumizi mabaya ya fedha, ambapo fidia ya shilingi milioni 300 ya majengo ya zahanati kutoka kampuni ya ujenzi wa reli ya kisasa kujenga jengo moja pekee ukilinganisha na shilingi milioni 380 zilizokuwa zikisimamiwa na Halmashauri kufanikiwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo

warag

Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.

Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. 

Ni katika mazungumzo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NBC yatangaza ripoti ya fedha

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetangaza matokeo yake ya fedha kwa robo ya pili ya mwaka huu, ambapo mali za jumla zimeongezeka kutoka sh. trilioni 1.6 Machi mwaka huu,...

 

9 years ago

Vijimambo

WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA FEDHA ZA MISAADA YA MABADILIKO YA TABIANCHI

Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jijini Dar  Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu ForumCC kwenye semina na wadau wa mazingira  waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira hapa nchini na nje ya nchi 
 Judy Ndichu ambaye ni mjumbe wa mazingira kutoka nchini Kenya akitoa somo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani