Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngara katika kashfa ya ubadhirifu wa fedha

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ngara inadaiwa kukumbwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha za umma katika miradi mitatu kwenye maeneo tofauti hali ambayo Kamati ya Utekelezaji ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera imeamuru irudiwe na kukamilishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti yaonyesha ubadhirifu wa fedha A Kusini

Katika ripoti yake ya hivi karibuni, mkaguzi mkuu Kimi Makwetu alisema taifa la Afrika Kusini lilipoteza zaidi ya dola milioni 65 katika kipindi cha makadirio ya pesa za uma cha mwaka 2014-2015

 

5 years ago

CCM Blog

DK. BASHIRU AKERWA NA UBADHIRIFU WA FEDHA MOROGORO VIJIJINI

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally akimpokea aliyekuwa mwanachama na Diwani wa ACT- Wazalendo Kata ya Tomondo Khamis Msangule baada ya yeye na Diwani mwenzake kwa tiketi ya chama hicho Juma Manyile wa kata ya Selembala pamoja na viongozi mbalimbali wa chama hicho na Chadema, kutangaza kujivua uanachama wa vyama hivyo na kujiunga na CCM katika mkutano wa ndani wa viongozi wa mashina, Kata, wilaya na mkoa, uliofanyika  baada ya kutembelea Kituo cha Afya cha Mikese, Morogoro...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. BASHIRU AKERWA NA UBADHIRIFU WA FEDHA MOROGORO VIJIJINI





……………………………………………………………………………………………….

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa akerwa na ubadhirifu wa fedha katika fidia ya ujenzi wa kituo cha Afya Mikese Morogoro Vijijini.

Dkt. Bashiru amekerwa na ubadhirifu huo kutokana na matumizi mabaya ya fedha, ambapo fidia ya shilingi milioni 300 ya majengo ya zahanati kutoka kampuni ya ujenzi wa reli ya kisasa kujenga jengo moja pekee ukilinganisha na shilingi milioni 380 zilizokuwa zikisimamiwa na Halmashauri kufanikiwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo

warag

Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.

Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. 

Ni katika mazungumzo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kashfa ya kasisi kujipa 'fedha chafu'

Kasisi mmoja mkuu nchini Italia, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kujipatia mamilioni ya dola kwa njia haramu kupitia benki ya Vatican.

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

UBADHIRIFU KATIKA TASINIA NDOGO YA TUMBAKU WAZIRI CHIZA AKABIDHI RIPOTI YA CAG

Na. Job Mika - WKCU
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza (Mb) hivi karibuni alimkabidhi, Inspecta Jenerali wa Jeshi la Polisi (IGP) Ripoti ya ukaguzi katika Tasnia ya tumbaku, ili kubaini, ubadhirifu na waliosababisha ubadhirifu huo uliopelekea wakulima wa tumbaku kutoa malalamiko yao kwa serikali kutokana na hasara waliopata katika msimu wa kilimo wa 2012/2013.
Tuhuma za ubadhirifu ndani ya Tasnia ya tumbaku ziliwalenga Chama Kikuu cha Ushirika cha WETCU, wakandarasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Bahi katika kashfa ya Mfuko wa Jimbo

>Mbunge wa Bahi(CCM), Omar Badwel ameingia katika kashfa baada ya Kamati ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo kubaini matumizi mabaya ya fedha hizo.

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI

WAZIRI WA FEDHA  WA ZANZIBAR MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE AKIINGIIA KATIKA UKUNBU WA BARAZA LA  WAWAKILISHI LEO

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani