Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge wa Bahi katika kashfa ya Mfuko wa Jimbo

>Mbunge wa Bahi(CCM), Omar Badwel ameingia katika kashfa baada ya Kamati ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo kubaini matumizi mabaya ya fedha hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA JIMBO WA MBUNGE WA KIGOMA KUSINI WATOA MAGODORO NA VITANDA KITUO CHA AFYA NGURUKA

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akihakikisha vitanda vilivyotolewa na mfuko wa jimbo lake katika kituo cha afya cha Nguruka, vinafungwa vyema.
Na Editha Karlo wa Globu ya jamii, Kigoma
Mfuko wa Mbunge wa  Jimbo la Kigoma kusini, Mhe. David Kafulila umetoa magodoro 20 na vitanda 20 kwa kituo cha afya cha Nguruka ili kuboresha huduma ya afya kituoni hapo hasa kwa akina mama wajawazito.
Mganga Mkuu wa kituo cha afya Nguruka, Dk. Stanford Chamgeni alisema kuwa kituo hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftarai la...

 

10 years ago

Habarileo

Hukumu ya Mbunge wa Bahi Aprili 29

HUKUMU ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Mbunge wa Bahi latupwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la Mbunge Bahi, Omary Badwell (CCM), la kusitishwa kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili.

 

11 years ago

Michuzi

MUENDELEZO WA KESI YA MBUNGE WA BAHI, BADWEL


NA MIRIAM MOSSES MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la awali la upande wa utetezi kuhusu kusitisha kusikiliza kesi  inayomkabili  Mbunge Omary Badwel  (pichani) ya kuomba na kupokea rushwa kutokana na kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mshtakiwa huyo kutokuwa na uhusiano na tuhuma za jina zinazomkabili.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Hellen Riwa, kwamba kesi ya jinai inayomkabili Badwel haina uhusiano na kesi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Mbunge wa Bahi yapigwa kalenda

UAMUZI wa ombi la Mbunge wa Bahi, Omary Badwell (CCM), kwamba usikilizwaji wa kesi inayomkabili ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane usitishwe, utatolewa Mei 12 mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Betty Mkwasa amvaa mbunge Bahi

MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa, amemlalamikia Mbunge wa Bahi, Omar Badwel (CCM), kwa kuwahamasisha wananchi kuharibu mazingira ikiwa ni pamoja na kufyeka msitu wa hifadhi ya taifa...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ITILIMA, NJARU SILANGA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA JIMBO LAKE

Mgombea ubunge jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki ) Njalu Silanga akiwa katika mikutano ya kampeni katika vijiji vya Zanzui, Mlimani, Sasago na Kabale.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani