Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ombi la Mbunge wa Bahi latupwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la Mbunge Bahi, Omary Badwell (CCM), la kusitishwa kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda latupwa

 Flora Mwakasala MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa limewasilishwa kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Ombi la Sheikh Ponda ‘latupwa’

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeyatupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuitaka isimamishe kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro hadi itakapotoa uamuzi wa rufaa yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Ombi la kusimamisha uchaguzi Burundi latupwa

>Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), imekataa ombi la kutoa amri ya kusitisha kwa muda uchaguzi mkuu nchini Burundi uliowasilishwa na Chama cha  Umoja wa Mawakili barani Afrika (Palu) kwa kushirikiana na asasi za kiraia Afrika Mashariki (EACSOF).

 

10 years ago

Habarileo

Hukumu ya Mbunge wa Bahi Aprili 29

HUKUMU ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Betty Mkwasa amvaa mbunge Bahi

MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa, amemlalamikia Mbunge wa Bahi, Omar Badwel (CCM), kwa kuwahamasisha wananchi kuharibu mazingira ikiwa ni pamoja na kufyeka msitu wa hifadhi ya taifa...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Mbunge wa Bahi yapigwa kalenda

UAMUZI wa ombi la Mbunge wa Bahi, Omary Badwell (CCM), kwamba usikilizwaji wa kesi inayomkabili ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane usitishwe, utatolewa Mei 12 mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

MUENDELEZO WA KESI YA MBUNGE WA BAHI, BADWEL


NA MIRIAM MOSSES MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la awali la upande wa utetezi kuhusu kusitisha kusikiliza kesi  inayomkabili  Mbunge Omary Badwel  (pichani) ya kuomba na kupokea rushwa kutokana na kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mshtakiwa huyo kutokuwa na uhusiano na tuhuma za jina zinazomkabili.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Hellen Riwa, kwamba kesi ya jinai inayomkabili Badwel haina uhusiano na kesi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Bahi katika kashfa ya Mfuko wa Jimbo

>Mbunge wa Bahi(CCM), Omar Badwel ameingia katika kashfa baada ya Kamati ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo kubaini matumizi mabaya ya fedha hizo.

 

10 years ago

Habarileo

Pingamizi la Mwanasheria Mkuu latupwa

PINGAMIZI la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani