MUENDELEZO WA KESI YA MBUNGE WA BAHI, BADWEL
NA MIRIAM MOSSES
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la awali la upande wa utetezi kuhusu kusitisha kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge Omary Badwel (pichani) ya kuomba na kupokea rushwa kutokana na kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mshtakiwa huyo kutokuwa na uhusiano na tuhuma za jina zinazomkabili.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Hellen Riwa, kwamba kesi ya jinai inayomkabili Badwel haina uhusiano na kesi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 May
Kesi ya Mbunge wa Bahi yapigwa kalenda
UAMUZI wa ombi la Mbunge wa Bahi, Omary Badwell (CCM), kwamba usikilizwaji wa kesi inayomkabili ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane usitishwe, utatolewa Mei 12 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mbunge Badwel huru,Takukuru washindwa kuthibitisha mashitaka
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni moja.
10 years ago
Habarileo20 Mar
Hukumu ya Mbunge wa Bahi Aprili 29
HUKUMU ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
11 years ago
Habarileo13 May
Ombi la Mbunge wa Bahi latupwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la Mbunge Bahi, Omary Badwell (CCM), la kusitishwa kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Betty Mkwasa amvaa mbunge Bahi
MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa, amemlalamikia Mbunge wa Bahi, Omar Badwel (CCM), kwa kuwahamasisha wananchi kuharibu mazingira ikiwa ni pamoja na kufyeka msitu wa hifadhi ya taifa...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Mbunge wa Bahi katika kashfa ya Mfuko wa Jimbo
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge- Kesi yangu isimamishwe
MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusimamisha usikilizwaji wa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili. Badwell aliomba hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa kupitia kwa Wakili wake, Mpare Mpoki wakati kesi hiyo ilipotajwa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa.
11 years ago
Habarileo13 Jun
Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.
10 years ago
Habarileo30 Oct
Hukumu kesi ya kutishia kumuua Mbunge
HUKUMU ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Anthony Mahwata ya kutishia kumuua kwa maneno Mbunge wa zamani wa Jimbo la Njombe Magharibi, Yono Kevela imepangwa kuwa Novemba 27, mwaka huu.