Mbunge- Kesi yangu isimamishwe
MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusimamisha usikilizwaji wa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili. Badwell aliomba hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa kupitia kwa Wakili wake, Mpare Mpoki wakati kesi hiyo ilipotajwa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Jan
Mawakili waomba kesi ya Escrow isimamishwe
MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi mbili za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni 2 kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow, wameiomba Mahakama kusimamisha kesi hizo hadi itakaposikiliza hoja zao.
10 years ago
Habarileo02 Sep
Ponda aomba kesi ya uchochezi isimamishwe
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda ameomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Ponda aomba kesi yake isimamishwe
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Jimbo la Iringa mjini lilikosa mbunge makini sasa ni zamu yangu ubunge -Mwakalebela
Mwakalebela akiomba kura kwa wananchi wa kata ya Mshindo jana.
Wana CCM na wananchi wa kata ya...
11 years ago
MichuziMUENDELEZO WA KESI YA MBUNGE WA BAHI, BADWEL
NA MIRIAM MOSSES MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la awali la upande wa utetezi kuhusu kusitisha kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge Omary Badwel (pichani) ya kuomba na kupokea rushwa kutokana na kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mshtakiwa huyo kutokuwa na uhusiano na tuhuma za jina zinazomkabili.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Hellen Riwa, kwamba kesi ya jinai inayomkabili Badwel haina uhusiano na kesi ya...
11 years ago
Habarileo13 Jun
Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.
11 years ago
Habarileo06 May
Kesi ya Mbunge wa Bahi yapigwa kalenda
UAMUZI wa ombi la Mbunge wa Bahi, Omary Badwell (CCM), kwamba usikilizwaji wa kesi inayomkabili ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane usitishwe, utatolewa Mei 12 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo30 Oct
Hukumu kesi ya kutishia kumuua Mbunge
HUKUMU ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Anthony Mahwata ya kutishia kumuua kwa maneno Mbunge wa zamani wa Jimbo la Njombe Magharibi, Yono Kevela imepangwa kuwa Novemba 27, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo26 Feb
12. (Na Mpigapicha Wetu). Kesi inayomhusu Mbunge wa Dimani kunguruma Jumatatu
KESI ya madai ya masuala ya ndoa dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Abdallah Sharia Ameir (CCM) iliyofunguliwa dhidi yake na mlalamikaji Hawa Kundami inatarajiwa kuanza kusikilizwa Jumatatu ijayo.