Ponda aomba kesi yake isimamishwe
Wakili Nassoro Juma anayemtetea Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu itumie busara kusimamisha kesi ya jinai inayomkabili mteja wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Sep
Ponda aomba kesi ya uchochezi isimamishwe
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda ameomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.
10 years ago
GPLRUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
GPLSHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge- Kesi yangu isimamishwe
MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusimamisha usikilizwaji wa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili. Badwell aliomba hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa kupitia kwa Wakili wake, Mpare Mpoki wakati kesi hiyo ilipotajwa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa.
10 years ago
Habarileo30 Jan
Mawakili waomba kesi ya Escrow isimamishwe
MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi mbili za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni 2 kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow, wameiomba Mahakama kusimamisha kesi hizo hadi itakaposikiliza hoja zao.
10 years ago
Habarileo21 Nov
Kesi ya Ponda kuendelea Novemba 27
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha hukumu inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Shehe Issa Ponda hadi Novemba 27 mwaka huu. Hukumu hiyo ilikuwa itolewe jana.
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kesi ya Ponda yapigwa kalenda
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Kesi ya Ponda kunguruma Februari 16
KESI inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK42oUteHb0J2R0jMgCzYQxosZIalUNhCGgmR8SeA6S9K8WScbFyg2gE2D3Cr6qfdpr9q34iSgQk2wBRM5MVePE*/BREAKINGNEWS.gif)
SHEIKH PONDA ASHINDA KESI