Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


12. (Na Mpigapicha Wetu). Kesi inayomhusu Mbunge wa Dimani kunguruma Jumatatu

Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Abdallah Sharia Ameir (CCM)KESI ya madai ya masuala ya ndoa dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Abdallah Sharia Ameir (CCM) iliyofunguliwa dhidi yake na mlalamikaji Hawa Kundami inatarajiwa kuanza kusikilizwa Jumatatu ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Steve Kilindo (kushoto). (Na Mpigapicha Wetu). RCC yapendekeza jimbo jipya la Ilula

KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa (RCC) imeridhia jimbo la Kilolo ligawanywe kutoa jimbo jingine la Ilula, kwa lengo la kurahisisha ufikishaji wa huduma bora kwa wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Ponda kunguruma Februari 16

KESI inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya Mwale yaanza kunguruma Arusha

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha juzi, ilianza kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha, kula njama na kugushi inayomkabili wakili maarufu nchini, Medium Mwale na wenzake watatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Badwell kunguruma tena Feb 24

Mbunge wa Bahi, Dodoma, Omary Badwel anayekabiliwa na kesi ya kuomba na kupokea rushwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Februari 24 mwaka huu, anatarajiwa kuhojiwa na upande wa mashtaka dhidi ya utetezi wake alioutoa mahakamani hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Askofu Gwajima kunguruma mwezi ujao

Kesi zinazomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu zitaanza kuunguruma katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Septemba 10 mwaka huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi kupinga ubunge Longido yaanza kunguruma

MMGL2750NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KESI ya kupinga matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Ole Nangole (Chadema), iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Dk. Stephen Kiruswa, imeanza kusikilizwa.

Nangole ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambaye alitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na upinzani, aligombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kufanikiwa kushinda.

Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Methew Mwaimu, jana  ilianza kusikilizwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam inaanza kusikiliza kesi ya kikatiba ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo

Tukio la mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya litawekwa hadharani kuanzia leo wakati mashahidi 50 wa upande wa Jamhuri watakapoanza kutoa ushahidi wao kwa siku tano mfululizo.

 

10 years ago

GPL

KESI YA MRAMBA NA WENZAKE KUSIKILIZWA JUMATATU

Basil Mramba akibadilishana mawazo na anayedaiwa kuwa wakili wa kesi hiyo  muda mchache kabla ya kesi hiyo kusogezwa mpaka  tarehe 6 mwezi wa 7 kwa jili ya hukumu. Basili Mramba,Daniel Yona,Agrey Mgonja mwingine hakufahamika jina lake wakijadili jambo kabla ya kusomewa hukumu yao ambayo imeahirishwa mpaka tarehe 6 mwezi wa 7. Daniel Yona,… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani