Kesi ya Badwell kunguruma tena Feb 24
Mbunge wa Bahi, Dodoma, Omary Badwel anayekabiliwa na kesi ya kuomba na kupokea rushwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Februari 24 mwaka huu, anatarajiwa kuhojiwa na upande wa mashtaka dhidi ya utetezi wake alioutoa mahakamani hapo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Feb
Kesi ya Ponda kunguruma Februari 16
KESI inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Kesi ya Mwale yaanza kunguruma Arusha
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Kesi ya Askofu Gwajima kunguruma mwezi ujao
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo
11 years ago
Mwananchi17 Sep
Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Kesi kupinga ubunge Longido yaanza kunguruma
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KESI ya kupinga matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Ole Nangole (Chadema), iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Dk. Stephen Kiruswa, imeanza kusikilizwa.
Nangole ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambaye alitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na upinzani, aligombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kufanikiwa kushinda.
Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Methew Mwaimu, jana ilianza kusikilizwa...
10 years ago
Habarileo26 Feb
12. (Na Mpigapicha Wetu). Kesi inayomhusu Mbunge wa Dimani kunguruma Jumatatu
KESI ya madai ya masuala ya ndoa dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Abdallah Sharia Ameir (CCM) iliyofunguliwa dhidi yake na mlalamikaji Hawa Kundami inatarajiwa kuanza kusikilizwa Jumatatu ijayo.
11 years ago
Business Standard31 Jan
Zanzibar President to visit India from Feb 1 to Feb 9
ANINEWS
Business Standard
President of Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein will be on an official visit to India from February 1 to February 9 at the invitation of Vice President Hamid Ansari. Dr. Shein will be leading a delegation comprising of senior Ministers and officials. The visiting ...
President of Zanzibar to pay official visit to IndiaJagran Post
all 2
10 years ago
Vijimambo
Kesi ya Mbasha Yakwama tena

Kesi ya ubakaji inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mume wa Flora Mbasha kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogezwa tena mbele kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka anayeisimamia kesi hiyo. Kesi hiyo ya Emmanuel Mbasha ilitakiwa kuendelea baada ya mashahidi kuwepo eneo la tukio kabla ya hakimu mkazi Flora Mjaya kuairisha mpaka Mei 29, 2015 kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka Nassoro Katuga.
Mashahidi wawili wameshatoa ushahidi huku mmojawapo akiwa ...