Kesi kupinga ubunge Longido yaanza kunguruma
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KESI ya kupinga matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Ole Nangole (Chadema), iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Dk. Stephen Kiruswa, imeanza kusikilizwa.
Nangole ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambaye alitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na upinzani, aligombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kufanikiwa kushinda.
Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Methew Mwaimu, jana ilianza kusikilizwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Kesi ya Mwale yaanza kunguruma Arusha
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Kesi ya kupinga sheria ya mtandao yaanza
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Dk. Didas Masaburi afuta kesi ya kupinga Ubunge wa Saed Kubenea
![](http://3.bp.blogspot.com/-XNjP98s8Vz0/VnI00_qGu_I/AAAAAAAArrY/XUQ3cwQ1RdE/s1600/2.jpg)
10 years ago
Habarileo11 Feb
Kesi ya Ponda kunguruma Februari 16
KESI inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Kesi ya Badwell kunguruma tena Feb 24
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo