Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Mtemvu atinga Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Mahakama yamfutia kesi Naibu Meya Arusha
MAHAKAMA imeifutilia mbali kesi ya kumshambulia mgambo iliyokuwa ikiwakabili Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa levelos, Ephata Nanyaro, (CHADEMA). Uamuzi huo uliopokelewa kwa shangwe na...
9 years ago
Dewji Blog03 Dec
TAARIFA KWA UMMA:Wananchi jimbo la Mafia wafungua kesi Mahakama kuu kupinga ushindi wa Mbaraka Dau!!
TAARIFA KWA UMMA: “Watanzania wenzangu na kipekee kabisa wana Mafia wenzangu sasa ni takriban siku 40, Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu na kutangazwa washindi..kama
Mtakumbuka uchaguzi wa jimbo la Mafia uligubikwa na mizengwe ya hali ya juu na ulitawaliwa na mambo mbali mbali ya ukiukwaji wa taratibu na hatimaye ukafanyika na msimamizi wa uchaguzi kumtangaza mshindi BATILI wa CCM bwana Mbaraka Dau kuwa mshindi kwa tofauti ya kura chache dhidi ya mgombea wa CUF Omary Ayoub Kimbau ambaye...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Mwakalebela afungua kesi ya kupinga matokeo
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana. (Picha na Friday Simbaya)
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini, Frederick Mwakalebela, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), amefungua kesi mahakamani ya kupinga matokeo yaliompa ushindi, Mchungaji Peter Msigwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kesi hiyo ya uchaguzi iliyofunguliwa kwa No. 5 ya mwaka 2015 imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Iringa...
9 years ago
MichuziMTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Nundu, wagombea udiwani CCM wafungua kesi kupinga matokeo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hz9JSOeu4gg/VP8GehF04GI/AAAAAAAHJWs/vz8aKUbah3c/s72-c/zitto.jpg)
JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hz9JSOeu4gg/VP8GehF04GI/AAAAAAAHJWs/vz8aKUbah3c/s1600/zitto.jpg)
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...
9 years ago
MichuziKesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Kesi za madai katika Mahakama Kuu ya Tanzania