MTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, (hawapo pichani), ambapo aliwaeleza kuwa amefungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la Temeke,ili haki ipatikane. Kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke, Kassim Kiame.Walioshitakiwa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, ambaye pia ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Temeke, Protidas Kagimbo Mbunge aliyeshinda, Abdallah Mtolela na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Mtemvu atinga Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Mwakalebela afungua kesi ya kupinga matokeo
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana. (Picha na Friday Simbaya)
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini, Frederick Mwakalebela, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), amefungua kesi mahakamani ya kupinga matokeo yaliompa ushindi, Mchungaji Peter Msigwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kesi hiyo ya uchaguzi iliyofunguliwa kwa No. 5 ya mwaka 2015 imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Iringa...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE
9 years ago
Habarileo22 Nov
Mtemvu apinga matokeo Temeke
ALIYEKUWA mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu amefungua kesi ya uchaguzi namba 2 ya mwaka huu katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam akipinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-5qnnvxb0nZo/VK7MEALaCsI/AAAAAAAAsOo/qBVYyKrQ1xs/s72-c/1.jpg)
UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-5qnnvxb0nZo/VK7MEALaCsI/AAAAAAAAsOo/qBVYyKrQ1xs/s1600/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar
Baadhi ya misaada mbalimbali iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...