Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani

Bwana Rwasa amesema hakubaliani kabisa na matokeo aliyoyapata, akidai uchaguzi ulitawaliwa na vitendo vya wizi wa kura.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

  CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.

Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.

Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.

 Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA TAWALA NCHINI BURUNDI CNDD-FDD CHASHINDA KITI CHA URAIS, AGATHON RWASA WA UPINZANI CHALI

Evariste NdayishimiyeBURUNDI
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala nchini humo CNDD-FDD Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.

Jenerali mstaafu huyo ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.

Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke wa Agathon Rwasa ashambuliwa Burundi

Watu waliokua na Silaha wamemjeruhi mke wa kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Agathon Rwasa apuuza mahakama Burundi

Kiongozi wa zamani wa FNL Palipehutu Burundi, Aghaton Rwasa hakusikilizwa na mahakama katika kesi inayo husu mauaji ya raia banyamulenge mwaka 2004 katika kitongoji cha gatumba nje ya mji mkuu Bujumbura

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Agathon Rwasa ni naibu wa spika

Licha ya kupinga uchaguzi mkuu wa hivi majuzi kiongozi wa upinzani Agathon Rwasa amekubali kuwa naibu wa spika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani