CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.
Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.
Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Dk Kebwe kupinga matokeo mahakamani
9 years ago
Habarileo29 Oct
CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.
9 years ago
Mwananchi29 Oct
CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Cuf yaungana na CCM kupinga matokeo ya ubunge
9 years ago
Mtanzania04 Nov
CUF kupinga matokeo ya ubunge majimbo sita
NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF) kinatarajia kufungua kesi katika mahakama mbalimbali nchini kupinga matokeo ya majimbo sita katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa wa Haki za Binadamu na Sheria wa CUF, Mohamed Mluya, aliyataja majimbo hayo kuwa ni Lindi Mjini, Newala, Mtwara Vijijini, Pangani, Mbagala na Tabora Mjini ambayo uchaguzi wake uligubikwa na dosari mbalimbali.
Alisema...
9 years ago
StarTV02 Nov
Kafulila kwenda mahakamani kuyapinga matokeo ya Ubunge
Aliyekuwa Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini Kupitia Chama cha NCCR Mageuzi David Kafulila amesema anakusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa Ushindi Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Husna Mwilima kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25, mwaka huu.
Kafulila amesema amefikia hatua hiyo kwa lengo la kutafuta haki yake baada ya kutoridhishwa na matokeo ya kushindwa na kwamba matokeo yaliyotangazwa katika nafasi hiyo Jimboni kwake ni tofauti na yale aliyonayo...
10 years ago
BBCSwahili17 May
Waandamana Togo kupinga matokeo ya uchaguzi
9 years ago
MichuziMTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE