CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelalamikia utaratibu wa ukusanya kura na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo, huku kikikusudia kukata rufaa mahakamani kupinga matokeo ya Jimbo la Mikumi, Kawe, Iringa Mjini na Ndanda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Oct
CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Dk Kebwe kupinga matokeo mahakamani
9 years ago
StarTV04 Nov
 CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.
Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.
Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
9 years ago
Mwananchi28 Oct
CCM kupinga matokeo majimbo manne
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Nyalandu aifanyia kazi video ya Mch Msigwa
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Cuf yaungana na CCM kupinga matokeo ya ubunge
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Nundu, wagombea udiwani CCM wafungua kesi kupinga matokeo
11 years ago
Dewji Blog14 May
Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa
Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog