Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu aifanyia kazi video ya Mch Msigwa

>Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza kufuta vitalu vyote vilivyokuwa chini ya Kampuni ya Green Miles Safaris Ltd kutokana na kukiuka sheria za uwindaji nchini, huku akiifuta Idara ya Wanyamapori.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelalamikia utaratibu wa ukusanya kura na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo, huku kikikusudia kukata rufaa mahakamani  kupinga matokeo ya Jimbo la  Mikumi, Kawe, Iringa Mjini na Ndanda.

 

11 years ago

Dewji Blog

Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa

Peter-Msigwa1

Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog

 

5 years ago

Michuzi

JOTO LA URAIS CHADEMA LAPAMBA MOTO, MCH MSIGWA ATAJA MAMBO MATATU ATAKAYOYAFANYA AKIWA RAIS


Charles James, Michuzi TV

UCHUMI imara, kusimamia utawala bora na kuboresha elimu nchini, ndivyo vipaumbele vitatu ambavyo Mtia nia wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mch Peter Msigwa amevitaja.

Mch Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ametangaza rasmi nia yake hiyo ya kugombea Urais kupitia Chadema leo jijini Dodoma ambapo pia alisindikizwa na wabunge wenzake, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' Hawa Mwaifunga na John Heche.

Akizungumza na wandishi...

 

9 years ago

Michuzi

ACT WAZALENDO WASEMA MCHUANO IRINGA NI CHIKU ,MWAKALEBELA NA MASASI ,MCHUNGAJI MSIGWA ASICHAGULIWE KASHINDWA KAZI

Na MatukiodaimablogCHAMA Cha ACT wazalendo kimewataka wananchi wa jimbo la Iringa Mjini kuwapima wagombea watatu waliojitokeza kuomba kuchaguliwa kupokea  nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Mchungaji Peter Msigwa ( Chadema)kwa madai kuwa hapaswi tena kupewa kura katika jimbo hilo.
Katibu Wilaya  wa ACT wazalendo Wilaya ya  Iringa Bw Zhenepa Ally leo wakati wa mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Iringa mjini Chiku Abwao ( ACT wazalendo) kwenye kata ya Kitwiru .
Alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Waliosimamishwa kazi na Nyalandu warejeshwa

Agizo la Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu la kuwasimamisha kazi vigogo wa Idara ya Wanyamapori kwa kwenda kinyume na maadili ya kazi limetenguliwa baada wakurugenzi hao kurejeshwa katika nyadhifa zao.

 

11 years ago

GPL

FARAJA KOTA: SIINGILII KAZI ZA NYALANDU

Na Imelda Mtema
MISS Tanzania 2004, Faraja Kota amefunguka kuwa kamwe hawezi kuingilia kazi za mumewe ambaye ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwani anaamini mumewe ana akili nyingi kuliko yeye. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Akizungumza na paparazi wetu, Faraja alisema siyo rahisi kuingilia kazi za mume wake zaidi ya kuzungumza naye kidogo sana kama kuna kitu amekiona anaweza kumshauri kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Msigwa aonyesha video ya uwindaji haramu

>Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa ameonyesha video inayobainisha namna baadhi ya kampuni za uwindaji nchini zinavyotumia vibaya leseni zao na kufanya ujangili.

 

9 years ago

Habarileo

Nyalandu akabidhi ofisi, Maghembe aahidi kazi

WATENDAJI katika Wizara ya Maliasili na Utalii wameombwa kumpa ushirikiano Waziri mpya wa wizara hiyo, Profesa Jumanne Maghembe ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ufanisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani