FARAJA KOTA: SIINGILII KAZI ZA NYALANDU
![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d3cQSRrXAbjmirySs27ppynG45xI*VqrRE-hvihSeNYdPm1EZDS9yqU*iENuvoPiS02Rb3*kDhuA8HbAd8OL0Gi/faraja.jpg?width=650)
Na Imelda Mtema MISS Tanzania 2004, Faraja Kota amefunguka kuwa kamwe hawezi kuingilia kazi za mumewe ambaye ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwani anaamini mumewe ana akili nyingi kuliko yeye. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Akizungumza na paparazi wetu, Faraja alisema siyo rahisi kuingilia kazi za mume wake zaidi ya kuzungumza naye kidogo sana kama kuna kitu amekiona anaweza kumshauri kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi10 Mar
9 years ago
Bongo531 Dec
Vitabu ni zaidi ya maandishi by Faraja Nyalandu
![11357008_405079516346127_1607457850_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/11357008_405079516346127_1607457850_n-300x194.jpg)
Kila mwisho wa mwaka huwa ninataja tano bora ya vitabu nilivyosoma mwaka huo. Nimefanya hivyo kwa miaka miwili, unaweza kuona tano bora ya 2013 hapa na hata ya 2014 katika post hii ya Instagram.
Kusoma Vitabu ni Tabia
Ninapenda kusoma vitabu, sikumbuki lini nilianza kupenda kusoma vitabu lakini nakumbuka ni tabia niliyokua nayo tokea mtoto. Mama yangu alikuwa mwalimu aliyehakikisha ualimu wake hauishii tu shuleni anapomaliza vipindi bali aliuleta mpaka nyumbani.
Kupe anayefaa
Nikisoma...
11 years ago
Dewji Blog16 Jun
UNICEF Tanzania Appoints AY and Faraja K. Nyalandu as Ambassadors to Champion Violence against Children
Hai District Launches One Stop Center to Address Violence against Women and Children
UNICEF Tanzania Appoints AY and Faraja K. Nyalandu as Ambassadors to Champion Violence against Children
To mark the Day of the African Child on 16 June, Hai District, along with government officials, UNICEF and Save the Children, launched a One Stop Center at the Hai District Hospital, which will help to provide support to women and children who have been affected by violence.
“With the One Stop Centre...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ckFOxiTzsIs/U57Mz4iQRRI/AAAAAAAFq-k/DRBqz96S8rA/s72-c/AY1.jpg)
UNICEF Tanzania yawateua AY na Faraja K. Nyalandu kama Mabalozi wa kuhamasisha umma juu ya ukatili dhidi ya watoto
![](http://1.bp.blogspot.com/-ckFOxiTzsIs/U57Mz4iQRRI/AAAAAAAFq-k/DRBqz96S8rA/s1600/AY1.jpg)
“Katika kituo hiki, huduma za kuwasaidia wahanga wa ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto ikiwa ni pamoja na huduma za afya, msaada wa kisaikolojia, ulinzi/usalama na msaada wa kisheria vinaweza kutolewa hapo katika eneo...
11 years ago
Mwananchi01 May
Waliosimamishwa kazi na Nyalandu warejeshwa
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Nyalandu aifanyia kazi video ya Mch Msigwa
9 years ago
Habarileo30 Dec
Nyalandu akabidhi ofisi, Maghembe aahidi kazi
WATENDAJI katika Wizara ya Maliasili na Utalii wameombwa kumpa ushirikiano Waziri mpya wa wizara hiyo, Profesa Jumanne Maghembe ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ufanisi.
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Nyalandu atuma kikosi kazi kumaliza nyoka Urambo
SERIKALI imetuma kikosi maalum cha askari wa kupamba na ujangili Wilaya ya Urambo, mkoani Tabora ili kukabiliana na nyoka aina ya Koboko ambao hadi sasa wamesababisha vifo vya watu wanne....