Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandamana Togo kupinga matokeo ya uchaguzi

Maelfu ya waandamanaji wameandamana kwenye mji mkuu wa Togo, Lome kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwezi uliopita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani

Bwana Rwasa amesema hakubaliani kabisa na matokeo aliyoyapata, akidai uchaguzi ulitawaliwa na vitendo vya wizi wa kura.

 

9 years ago

StarTV

  CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.

Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.

Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.

 Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...

 

9 years ago

Michuzi

MTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, (hawapo pichani), ambapo aliwaeleza kuwa amefungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la Temeke,ili haki ipatikane. Kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke,  Kassim Kiame.Walioshitakiwa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, ambaye pia ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Temeke, Protidas Kagimbo Mbunge aliyeshinda, Abdallah Mtolela na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,...

 

9 years ago

StarTV

Wajumbe wateule waendelea kupinga kufutwa kwa matokeo Uchaguzi  Zanzibar

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wateule Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) wamesema hawapo tayari kurudia Uchaguzi Mkuu kwa madai ya kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 siyo batili.

Huku wakiitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutengua tamko la kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi na badala yake kutangaza matokeo ya Majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi huo.

Abubakari Khamis Bakari ametoa tamko hilo ambalo ni azimio la wawakilishi wateule 27 kupitia chama hicho Zanzibar na kusema kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtemvu atinga Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Abdallah Mtolea (CUF) kuwa  Mbunge wa jimbo hilo Dar es Salaam. kulia ni msemaji wa wa Timu ya Simba Haji Manara (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Mmliliki wa ujijirahaa blog. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu kulia akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Jordan waandamana kupinga IS

Maelfu ya raia wa Jordan wameandamana mjini ,Amman,wakiunga mkono serikali yao katika vita dhidi ya kundi la Islamic State

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga sera,Ubelgiji

Polisi mjini Belgian nchini Ubelgiji wamelazimika kutumia mabomu ya machozi na maji ili kuwatawanya waandamanaji wanaopinga sera

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga kodi ya mtandao

Maandamano nchini Hungary yanaendelea dhidi ya mpango wa serikali wa kutaka kuwatoza kodi wanaotumia mtandao

 

9 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga mauaji Bangladesh

Mamia ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka, kupinga mashambulio yaliyofanywa jana dhidi ya mchapishaji

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani