CHAMA TAWALA NCHINI BURUNDI CNDD-FDD CHASHINDA KITI CHA URAIS, AGATHON RWASA WA UPINZANI CHALI

Evariste NdayishimiyeBURUNDI
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala nchini humo CNDD-FDD Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.
Jenerali mstaafu huyo ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.
Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.
Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Kiongozi CNDD-FDD asakwa Burundi
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
SERIKALI ya Burundi imetangaza msako dhidi ya mwenyekiti wa zamani wa chama tawala cha CNDD-FDD nchini Burundi, Hussein Rajabu, kwa kutoweka jela pamoja na mkuu wa gereza la Mpimba.
Msemaji wa Serikali, Liboire Bakundukize, alisema jana kuwa msako dhidi ya watu hao umeanza.
“Serikali inamsaka Hussein na wale wote waliomsaidia kutoroka gerezani waweze kufunguliwa mashtaka mara moja,” alisema Bakundukize katika taarifa yake.
Pamoja na kutolewa taarifa hiyo...
5 years ago
BBCSwahili25 May
Mgombea wa chama tawala nchini Burundi ashinda urais
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Agathon Rwasa apuuza mahakama Burundi
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Burundi:Agathon Rwasa ni naibu wa spika
10 years ago
BBCSwahili15 Mar
Mke wa Agathon Rwasa ashambuliwa Burundi
5 years ago
BBCSwahili18 May
Uchaguzi wa Burundi 2020: Je, upinzani utafurukuta ama kumsindikiza mgombea wa chama tawala?
11 years ago
BBCSwahili26 Oct
Chama tawala chashinda uchaguzi Botswana