Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa Burundi 2020: Je, upinzani utafurukuta ama kumsindikiza mgombea wa chama tawala?

Benki ya Dunia inakadiria kuwa watu saba kati ya kumi nchini Burundi ni masikini kupindukia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Uchaguzi wa Burundi: Mgombea wa chama tawala Everiste Ndayishimye ashinda urais

Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.

Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.

Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya uchaguzi.

Haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi , ambapo matokeo ya mwisho...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mgombea wa chama tawala nchini Burundi ashinda urais

Mgombea wa chama tawala nchini Burundi ashinda uchaguzi kwa 68.7% ya kura

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA TAWALA NCHINI BURUNDI CNDD-FDD CHASHINDA KITI CHA URAIS, AGATHON RWASA WA UPINZANI CHALI

Evariste NdayishimiyeBURUNDI
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala nchini humo CNDD-FDD Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.

Jenerali mstaafu huyo ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.

Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watetezi wa chama tawala Burundi wauawa

Polisi nchini Burundi wanasema kuwa wanaharakati kutoka kwa chama tawala CNDD-FDD wameuawa kwa kupigwa risasi katika mji ulio mashariki mwa nchi wa Gisuru karibu na mpaka na Tanzania.

 

11 years ago

BBCSwahili

Chama tawala chashinda uchaguzi Botswana

Tume ya uchaguzi nchini Botswana inasema kuwa chama tawala nchini humo kimeshinda uchaguzi mkuu uliondaliwa siku ya ijumaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama tawala chashinda uchaguzi Zambia

Mgombea wa chama cha Patriotic Front Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi

Polisi nchini Burundi wamesema kuwa wamewakamata watu wapatao 64 kutoka chama kikuu cha siasa cha CNL, kumekuwa na ghasia pamoja na mauaji dhidi ya wanachama wa chama kikuu katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei.

 

10 years ago

GPL

KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA

Baadhi wananchi wakiwa eneo alipouawa Zedi Feruzi. KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Mwili wa Zedi Feruzi amabye alikuwa kiongozi wa Chama cha Union for Peace and Development ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji wa Bujumbura. Juzi Ijumaa watu wawili waliuawa katika maandamano hayo yaliyochukua wiki kadhaa huku… ...

 

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI WAPO TEYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UCHAGUZI WA 2020

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia  akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiCHAMA cha NCCR-Mageuzi kipo tayari kushirikiana na chama chochote kwa kuzingatia maslahi ya mapana ya Tanzania nakuzingatia utaratibu unaokubalika kikatiba na kisheria katika mchakato wote wa kushiriki uchaguzi Mkuu wa 2020.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani