Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA

Baadhi wananchi wakiwa eneo alipouawa Zedi Feruzi. KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Mwili wa Zedi Feruzi amabye alikuwa kiongozi wa Chama cha Union for Peace and Development ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji wa Bujumbura. Juzi Ijumaa watu wawili waliuawa katika maandamano hayo yaliyochukua wiki kadhaa huku… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani auawa Burundi

Kiongozi wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama cha Upinzani chamteua kiongozi mweusi

Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Democratic Alliance kimemteua mwafrika kwa kwanza kukiongoza .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani auawa Urusi

Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Urusi Boris Nemtsov ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA TAWALA NCHINI BURUNDI CNDD-FDD CHASHINDA KITI CHA URAIS, AGATHON RWASA WA UPINZANI CHALI

Evariste NdayishimiyeBURUNDI
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala nchini humo CNDD-FDD Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.

Jenerali mstaafu huyo ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.

Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani aachiliwa Burundi

Mahakama nchini Burundi imemwachilia kwa dhamana Frederic Bamvuginyumvira aliyekabiliwa na kashfa ya ngono na ulaji rushwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Msemaji wa upinzani auawa Burundi

Msemaji wa chama cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani atekwa nyara Burundi

Mbunge wa zamani katika bunge la Afrika mashariki Francois Bizimana ameripotiwa kutekwa nyara siku ya jumapili mjini Bujumbura

 

10 years ago

Mwananchi

TAFRANI BURUNDI: Hofu yatanda kuuawa kiongozi wa upinzani

>Huku Serikali ikikanusha kuhusika katika mauaji ya kiongozi wa upinzani wa Burundi, baadhi ya makundi ya kisiasa yameanza kuingiwa na wasiwasi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya nchi hiyo, wiki moja baada ya Rais Pierre Nkurunziza kusogeza mbele tarehe uchaguzi wa wabunge.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Je, upinzani utafurukuta ama kumsindikiza mgombea wa chama tawala?

Benki ya Dunia inakadiria kuwa watu saba kati ya kumi nchini Burundi ni masikini kupindukia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani