Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtemvu apinga matokeo Temeke

ALIYEKUWA mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu amefungua kesi ya uchaguzi namba 2 ya mwaka huu katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam akipinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, (hawapo pichani), ambapo aliwaeleza kuwa amefungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la Temeke,ili haki ipatikane. Kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke,  Kassim Kiame.Walioshitakiwa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, ambaye pia ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Temeke, Protidas Kagimbo Mbunge aliyeshinda, Abdallah Mtolela na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,...

 

9 years ago

Michuzi

Kesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Abdallah Mtolea (CUF) kuwa  Mbunge wa jimbo hilo Dar es Salaam. Kulia ni msemaji wa wa Timu ya Simba Haji Manara  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Abbas Mtemvu (kulia) na mkewe wakitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.
Mgombea urais kupitia Chama cha  Chauma na ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi TZ

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa amesema kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC.

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely. Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji… ...

 

10 years ago

Michuzi

MTEMVU ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MVUA TEMEKE

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Yombo Relini Yusufu Marko (kulia) akimwelekeza jambo wakati alipo fika katika maeneo hayo baada ya kuzunguuka maeneo tofauti na  Mbunge Abbas Mtemvu.
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Abdon Kidege, akimwelekeza jambo Mbunge wa Jimbo hilo Abbas Mtemvu wakati wa ziara ya kutembelea na kuwaona wananchi waliopatwa na mafuriko ya Mvua zinazo endelea kunyesha Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi walio patwa na mafuriko maeneo ya Wailesi alipo...

 

11 years ago

Michuzi

MTEMVU ANOGESHA MASHINDANO YA SOKA SERIKALI ZA MITAA TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Jamaica ya Mtaa wa Keko Molemo, Paulo Peter zawadi ya sh. 300,000 baada ya kuifunga timu ya DotmondMtaa wa Jamaica  ya Mtaa wa Keko Magurumbasi katika mechi ya kuchagua wachezaji wa kuunda timu ya kombaini ya Kata ya Keko jana kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitivo cha Elimu (DUCE), Chang,ombe Dar es Salaam . Jamaica lishinda mabao 3-1. Pia timu ya Dotmond ilizawadiwa sh. 200,000. Abbas Mtemvu ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani