Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely. Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

MREMBO Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Temeke 2014, Oktoba 11, 2014 aliibuka kidedea katika fainali za shindano la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia taji hilo sambamba na shilingi milioni 18. Katika shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nafasi ya pili ilikwenda kwa Lilian Kamazima ambaye alijishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk. Dorice Mollel alishika nafasi ya nne...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha. Habari kamili kuwajia…

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Washiriki 30 wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss Tanzania wakijitambulisha kwa shoo. Warembo wakipita na vazi la ufukweni. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akiwa na katibu wa kamati hiyo, Bosco Majaliwa.…

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014

MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe

BREAKING NEWS!Habari tulizozipata hivi punde kupitia uso wa kitabu wa Miss tanzania 2014, Sitti Mtemvu, ni kwamba ameamua kujivua taji hilo ili aendelee na maisha yake kwa amani. Hivi nivyo alovyoandika "HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA 2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SITTI ABBAS MTEMVU NDIYE MISS REDDS TANZANIA 2014


Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.
Habari kamili na mapicha kibao yatafuata.

 

10 years ago

Bongo5

Brigitte Alfred amtetea Miss TZ 2014, Sitti Mtemvu, ‘likikuchosha taji lilirudishe tu mpendwa’

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred amemtetea Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye tangu ashinde amekuwa akikosolewa kuwa hakustahili na kwamba alidanganya umri wake. Brigitte ametumia mtandao wa Instagram kuandika kile anachokiona kuwa ni uonevu kwa Mtemvu anayepokea matusi ya kila aina. “Mazuri mengi yanawapita, but when it’s something scandalous mnadiscuss forever!Ndio maana hatuendelei. I wish […]

 

10 years ago

Michuzi

Tahariri ya Globu ya Jamii: Sakata la Miss Tanzania 2014 Sitti Abbasi Mtemvu lipatiwe muarobani

 Jumamosi   Oktoba 11, 2014 fainali za Miss Tanzania  zilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Umati mkubwa wa wapenzi wa urembo waliokusanyika hapo ulishuhudia Bi. Sitti Abbas Mtemvu akinyakua taji hilo, akiwashinda warembo wengine 29 na kuwa malikia wa 20 wa urembo nchini.Sitti, aliyeanza mbio za kuwania taji hilo katika awamu ya vitongoji kwa kujisafishia njia kwa  kuibuka Miss Chang’ombe na baadaye Miss Temeke,  alifuatiwa na  Lillian Kamazima aliyekuwa mshindi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani