Tahariri ya Globu ya Jamii: Sakata la Miss Tanzania 2014 Sitti Abbasi Mtemvu lipatiwe muarobani
![](http://3.bp.blogspot.com/-b5FhnCFVNu4/VEd8xQ_jgtI/AAAAAAAGsnY/X8NcXdzX10I/s72-c/MMGM0202.jpg)
Jumamosi Oktoba 11, 2014 fainali za Miss Tanzania zilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Umati mkubwa wa wapenzi wa urembo waliokusanyika hapo ulishuhudia Bi. Sitti Abbas Mtemvu akinyakua taji hilo, akiwashinda warembo wengine 29 na kuwa malikia wa 20 wa urembo nchini.Sitti, aliyeanza mbio za kuwania taji hilo katika awamu ya vitongoji kwa kujisafishia njia kwa kuibuka Miss Chang’ombe na baadaye Miss Temeke, alifuatiwa na Lillian Kamazima aliyekuwa mshindi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlQix8gYlXT*181j-yqQkKAHdGTfSIqi1-f72rOWR-ppDQ5ET9ND8gslO24mjCQqkZtCL-2Xkz2FrOye8ZHhyQc7/breakingnews.gif)
SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI
10 years ago
GPL13 Oct
SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrQSv8I2weOw-sIRAgZmBmZYwd8-HA8YCk-W0VXvEiRdWl4PgJn1WY0v*b8AHpg2ydxWt0Y3fehZnToQ*LArB3U/1.jpg)
SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014
MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-tK7x5nteWDQ/VEwIdP5QkgI/AAAAAAADKkc/t0kYCCkDwkQ/s72-c/sitti2.jpg)
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o07TO0fXsMI/VDmnL3tmIHI/AAAAAAAGpWA/Bs4K1DFE8Dk/s72-c/MMGM0202.jpg)
NEWS ALERT: SITTI ABBAS MTEMVU NDIYE MISS REDDS TANZANIA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-o07TO0fXsMI/VDmnL3tmIHI/AAAAAAAGpWA/Bs4K1DFE8Dk/s1600/MMGM0202.jpg)
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-m7uj1xZzd5A/VDmnIkq1nCI/AAAAAAAGpV4/I_4S4Tf0TDs/s1600/MMGM0157.jpg)
10 years ago
Bongo520 Nov
Lundenga ajibu swali la kama Sitti Mtemvu atanyang’anywa zawadi alizopewa aliposhinda taji la Miss Tanzania 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*Uj7aeolEUbTMgkO5c7*tcWqeEjO2VZLm9JBx0CtXiQynX6ejgRPz69lUFlQyUFU0MOwBL*NXSw8j*j58wpmal0/MMGM3002.jpg?width=650)
SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014