Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi TZ

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa amesema kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mtemvu apinga matokeo Temeke

ALIYEKUWA mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu amefungua kesi ya uchaguzi namba 2 ya mwaka huu katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam akipinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa apinga kufungia magazeti

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge  ya Mambo ya Nje, Edward Lowassa, amesema anakerwa na tabia ya serikali kufungia magazeti na amemfunda Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa apinga urais wa Dk Magufuli

Saa chache kabla ya Dk John Magufuli wa CCM kutangazwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa aliwasilisha pingamizi lenye hoja tatu kuhusu mwenendo wa uchaguzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva na kugonga mwamba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Poroshenko apinga uchaguzi

Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesema kuwa hatambui uchaguzi unaoendelea katika baadhi ya maeneo ya Mashariki mwa nchi hiyo

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani

Bwana Rwasa amesema hakubaliani kabisa na matokeo aliyoyapata, akidai uchaguzi ulitawaliwa na vitendo vya wizi wa kura.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani