Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa apinga kufungia magazeti

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge  ya Mambo ya Nje, Edward Lowassa, amesema anakerwa na tabia ya serikali kufungia magazeti na amemfunda Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nkamia: Nitayafuta, kufungia magazeti

VITISHO vya watendaji wa serikali kwa vyombo vya habari vimezidi kushika kasi, safari hii Naibu Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni, Juma Nkamia, akitishia kuvifungia au kuvifuta. Nkamia amebainisha kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa apinga urais wa Dk Magufuli

Saa chache kabla ya Dk John Magufuli wa CCM kutangazwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa aliwasilisha pingamizi lenye hoja tatu kuhusu mwenendo wa uchaguzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva na kugonga mwamba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi TZ

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa amesema kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC.

 

9 years ago

Mwananchi

JK: Serikali haitasita kufungia chombo cha habari

Wakati pazia la kampeni za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba likisubiri kufunguliwa kesho, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali haitasita kufungia chombo cha habari kitakachotumia uhuru wake kuleta uchochezi na vurugu nchini.

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya Afya yaonya kufungia biashara kudhibiti kipindupindu.

Wizara ya Afya imeonya kuwa itazifungia biashara zote zisizofuata taratibu za usafi ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ambao tayari umeathiri mikoa 16 tangu ulipuke Agosti mwaka huu.

Wizara imesema itachukua hatua hiyo ikiwemo kuvifunga vilabu vinavyouza vileo, migahawa ya chakula na mama lishe kwa lengo la kuokoa maisha ya wananchi na kutokomeza kipindupindu.

Wizara ya Afya imezungumzia hatua zinazochukuliwa sasa kupambana na kipindupindu, ugonjwa ambao tayari umepoteza maisha ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kufungia vyombo vya habari siyo utawala bora

Kauli iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia kwamba Serikali hivi karibuni itayachukulia hatua kali baadhi ya magazeti kwa madai kwamba yamekiuka maadili na kutishia usalama wa nchi, inathibitisha kwamba nchi yetu bado ina mwendo mrefu kabla ya kufikia ndoto yake ya kuwa nchi ya kidemokrasia na utawala bora.

 

9 years ago

Vijimambo

Makamba Ashangazwa Na HAYA MAGAZETI MATATU KUHUSU Vichwa Vya Habari Kuhusu Lowassa


Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameonesha kushangazwa na mfanano wa vichwa vya habari vya magazeti ya leo kuhusu mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Makamba ambaye ni mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ameonesha kurasa za mbele za magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Tanzania Daima zilizokuwa na vichwa vya habari vinavyomnukuu Lowassa akitaka watanzania wasiogope.Amepost picha za magazeti hayo kwenye twitter na kuhoji kama mfanano huo ni bahati mbaya...

 

9 years ago

MillardAyo

Sentensi 6 za Naibu Waziri Hamisi Kigwangalla baada ya kufungia wafanyakazi nje ya geti Dec 18.. (+Picha)

Ijumaa ya December 18 2015 inakuwa siku ya sita tangu Mawaziri na Manaibu wao walioteuliwa na Rais Magufuli waapishwe Ikulu Dar es Salaam… kwenye list ya Baraza hilo, yuko pia Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dk. Hamisi Andrea Kigwangalla, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nzega Tabora. Nimepita kwenye ukurasa wake Instagram @hamisi_kigwangalla, ambapo […]

The post Sentensi 6 za Naibu Waziri Hamisi Kigwangalla baada ya kufungia wafanyakazi nje ya geti Dec 18.. (+Picha) appeared first on...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK apinga serikali tatu

RAIS Jakaya Kikwete amefanya kampeni ya wazi kutetea mfumo wa serikali mbili unaopiganiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitumia muda mrefu kujaribu kuonyesha ‘ubaya’ wa mfumo wa serikali tatu....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani